Pre GE2025 Rais Samia, Kung'atuka nako ni ushujaa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mkuu kwa vile Januari Makamba hayupo, na aliyepo ni mwana, mmeona mumgeukie Rais Samia kabisa! Mnamharibia mwana mazima sasa!
Sasa nani wakutupiwa zigo zaidi ya Rais.
Pesa ikitolewa mnasema Rais katoa pesa ila akiboronga dhambi si zake
 
Sasa nani wakutupiwa zigo zaidi ya Rais.
Pesa ikitolewa mnasema Rais katoa pesa ila akiboronga dhambi si zake
Mkuu kumbe aliyefaa na kustahili kutupiwa zigo la umeme ni Januari tu!! Ila mwana aka! Wamekusikia! Tumekuelewa!
 
Mliombeza Ipo siku mtamjengea magufuli sanamu bila kulazimishwa.
 
Siyo jasiri kama unavyodhani.

Hawezi kuwa jasiri akajiuzulu
 
Ng'atuka wewe mwenyewe, mama kazi inaendelea
 
Kwamba Jomoo Kenyatta aliwahi kusema Nyerere anaongoza maiti, maana yake watanzania hawajitambui ndo Mana makonda anapiga simu mbele za wananchi kuwahadaa nao wanashangilia,Usaniii mtupu
 
Kwamba Jomoo Kenyatta aliwahi kusema Nyerere anaongoza maiti, maana yake watanzania hawajitambui ndo Mana makonda anapiga simu mbele za wananchi kuwahadaa nao wanashangilia,Usaniii mtupu
Hizi siasa za kupiga simu majukwaani ziliasisiwa na mwendawazimu jiwe au jina jingine mwiteni
Kibudu the ngosha
 
Huna hoja za maana.
 
Mama chapa kazi usisikie majungu. Malizia huu muhula wa mpito 2024 kisha uanze mihula yako rasmi miwili mpaka 2035.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…