Rais Samia kuondoka Februari 24, 2022 kuelekea Dubai kushiriki maonyesho ya Expo 2020

Wadnganye matahira wenzako.
 
Katibu mkuu wa Wizara ya Uwekezaji aliyeko Dubai amesema Rais Samia ataondoka Tanzania kuelekea Dubai kushiriki maonesho ya Expo 2020

Wawekezaji wengi sana wameonesha nia ya kuja kuwekeza Tanzania, amesema Katibu mkuu.

Chanzo: TBC
Like husband like wife
 
Hivi hili jina Hangaya nyuma yake linabeba maana gani? Isije likawa na maana ya anayezurura, kutangatanga ama kutokutulia sehemu moja. Maneno ama speli za kichawi huumba tabia! Nyie watani zangu Wasukuma shauri zenu, oohoo!
Ndo madhara ya kung'ang'ania uchifu wa makabila ya watu bila kujua mira na desturi zao.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Yani watanzania wamejaa lawama kupita maelezo hawana jema, Anyway kila la kheri mh rais katika safari yako.
 
Ujikombaji wa kiwango cha 4g
 
Katibu mkuu wa Wizara ya Uwekezaji aliyeko Dubai amesema Rais Samia ataondoka Tanzania kuelekea Dubai kushiriki maonesho ya Expo 2020

Wawekezaji wengi sana wameonesha nia ya kuja kuwekeza Tanzania, amesema Katibu mkuu.

Chanzo: TBC
Ndio safi. Azurure tu. Hapa awe anakuja kutusalimia tu halafu apige U-turn tena. Akae humu kufanya nini wakati kuna watu huko wana hela hazina kazi na wanatamani kuwekeza?

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
😁😁😁😁😁Rais Vasco da Gama. Habari za wananchi sio kitu kwake. Anyways,amalizie muda wake atoke tupate viongozi makini wasio malimbukeni wa safari.
 
Katibu mkuu wa Wizara ya Uwekezaji aliyeko Dubai amesema Rais Samia ataondoka Tanzania kuelekea Dubai kushiriki maonesho ya Expo 2020

Wawekezaji wengi sana wameonesha nia ya kuja kuwekeza Tanzania, amesema Katibu mkuu.

Chanzo: TBC
Sema anaenda kwao kwa mapunziko. nakuchungulia akaunti yake kama wamemwingizia hela zake, akirudi anafukuza Wamasai Ngorongoro, amewauzia warabu wenzake kwao Ngorogoro.
Jasili aachi asili yake.
 
Katibu mkuu wa Wizara ya Uwekezaji aliyeko Dubai amesema Rais Samia ataondoka Tanzania kuelekea Dubai kushiriki maonesho ya Expo 2020

Wawekezaji wengi sana wameonesha nia ya kuja kuwekeza Tanzania, amesema Katibu mkuu.

Chanzo: TBC
Mama kawa Vasco da Gama
 
Mama anaenda kushiriki maonesho aina ya sabasaba kweli? Ndio amefikia hatua hii?

Nalisikitikia taifa langu la Tanzania kwa kupata mzurulaji mzuri kama huyu
Badala ya kutafuta wawezekaji wapya tuna viwanda kibao vilivyoanzishwa na Mwl nyerere wahindi wamevigeuza maghala.darbrew tu hapo ubungo imefungwa hakuna hatua zozote serikali imemchukulia mwekezaji urafiki wamegeuza frame za biashara na parking ya magari.
 
Huyo ni rais mwenye maono tofauti na hayati JPM aliyeamini katika siasa za ndani na akawanyanyapaa mabalozi katika vikao vya ikulu, akiwa amejawa na jeuri.

Faida ya safari kama hizi ni kujuana na wawekezaji wakubwa na kuwa karibu nao. Ni ulimwengu wa ushawishi, mtu anakula kwa ushawishi alionao kidunia, mtu anapata masoko ya bidhaa zake kwa ushawishi wa kiongozi wake kuwa karibu na wakurugenzi wa makampuni makubwa.

Tunapata wigo mpana wa watalii kwa uongozi wetu kuwa sehemu ya dunia pana. Tatizo lako nyboma umezikariri mno falsafa za JPM kiasi ambacho unaamini rais ni lazima apitie njia zile zile alizoziamini yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…