Rais Samia kuondoka Februari 24, 2022 kuelekea Dubai kushiriki maonyesho ya Expo 2020

Rais Samia kuondoka Februari 24, 2022 kuelekea Dubai kushiriki maonyesho ya Expo 2020

Hivi hili jina Hangaya nyuma yake linabeba maana gani? Isije likawa na maana ya anayezurura, kutangatanga ama kutokutulia sehemu moja. Maneno ama speli za kichawi huumba tabia! Nyie watani zangu Wasukuma shauri zenu, oohoo!
Nimecheke hadi basi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hutaelewa ata ukipewa point gani. Maana wewe ni kiazi mbatata hasa
Mkuu usikifananishe kiazi mbatata na vitu vya kijinga,ujue tunakitumia kupika chips tunakula na kushushia na peps,sasa huyu tutampeleka wapi jamani wapishi
 
JK alikuwa mtalii number moja, lakini mpaka anamaliza mihula yake yote miwili, nchi ilikuwa inaona mtihani hata kulipa mishahara na marupurupu ya civil servants tu. Trust me, hii hali yetu ya kuwa mateja wa misaada ndiyo itakayoendelea kutubakiza hapa hapa tulipo!
JK na utalii wake ndiye aliyejenga MOI, ndiye aliyeanzisha mradi wa mwendo kasi. Kafanya mengi sana lakini kwa kukosa kwetu shukrani huwa tunashambulia yale madhaifu machache ya awamu yake.

Hakuna rais wa TZ ambaye anao uwezo wa kumfurahisha kila raia wake. Kila rais anayo makosa yake hivyo hakufaa kabisa kuwa pale Ikulu, lakini ni kwa mujibu wa fikra zetu zilizojaa ukosoaji.
 
Hata kama ndio kufungua Nchi hii speed imezidi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pambana mama acha wanaojifungia ndani wabwate huyu mama atakuwa mchagga maana hiyo kabila haijifungii ndani na inamaendeleo sana
 
Katibu mkuu wa Wizara ya Uwekezaji aliyeko Dubai amesema Rais Samia ataondoka Tanzania kuelekea Dubai kushiriki maonesho ya Expo 2020

Wawekezaji wengi sana wameonesha nia ya kuja kuwekeza Tanzania, amesema Katibu mkuu.

Chanzo: TBC
Hivi hajatoa hata tamko au kuwawekea Russia vikwazo? If not hata kupeleka majeshi pale kumuunga mrusi mkono maana sijajua tupo upande gani
 
Mama tembea mama ,kwanza nimegunduwa wewe inaweza kuwa una element za kichagaa maana wachaga wapo kila kona ya dunia wakisaka noti wanaokwambia unatumia pesa nyingii wengi wananongwa wanazojuwa wenyewe, tena nashangaa wanaotupa vijembe wanaume ambao wengi wao hutoka majumbani mwao iliwarudi na mikate,mihogo au pesa kwaajili ya familia zao. Wabongo sisi maendeleo tutasikia kwa majirani kamatunaamini kuka nyumbani ni issue duh!
 
JK na utalii wake ndiye aliyejenga MOI, ndiye aliyeanzisha mradi wa mwendo kasi. Kafanya mengi sana lakini kwa kukosa kwetu shukrani huwa tunashambulia yale madhaifu machache ya awamu yake.

Hakuna rais wa TZ ambaye anao uwezo wa kumfurahisha kila raia wake. Kila rais anayo makosa yake hivyo hakufaa kabisa kuwa pale Ikulu, lakini ni kwa mujibu wa fikra zetu zilizojaa ukosoaji.

What matters is the ability to make money, not the ability to spend money!
 
Hivi mme wake anamuruhusu kusafiri hivo? Basi ni mwelewa hana shida.
Dah!...unamuonea choyo au?....

Samia ni Rais wa Tanzania, atasafiri kikazi hayo ya ruhusa ya mumewe ya nini tena?
 
Katibu mkuu wa Wizara ya Uwekezaji aliyeko Dubai amesema Rais Samia ataondoka Tanzania kuelekea Dubai kushiriki maonesho ya Expo 2020

Wawekezaji wengi sana wameonesha nia ya kuja kuwekeza Tanzania, amesema Katibu mkuu.

Chanzo: TBC
Tunaomba arudi na wanyama au mbuga/safari waliyoanzisha waharabu uko kwao kutokana na wanyama walioibwa kipindi cha JK na nyarandu 2010, wanyama species zaidi ya 116waliibwa toka mbuga zetu wametengeza mbuga zao uko United Arabs technically watalii watapungua sana kwa ufara na rushwa ya hawa viumbe JK na nyarandu wameangamiza taifa kwa makusudi kabisa.

IMG-20220223-WA0057.jpg
 
Attachments

  • VID-20220223-WA0058.mp4
    6.9 MB
Katibu mkuu wa Wizara ya Uwekezaji aliyeko Dubai amesema Rais Samia ataondoka Tanzania kuelekea Dubai kushiriki maonesho ya Expo 2020

Wawekezaji wengi sana wameonesha nia ya kuja kuwekeza Tanzania, amesema Katibu mkuu.

Chanzo: TBC
Huyu mama anapenda safili Sana aisee
 
Hiyo ability ya kutengeneza pesa hutegemea misingi ya pesa na maarifa ya shuleni.

Mdogo mdogo tutafika, Roma haikujengwa ndani ya siku moja.

Ulichosema ni sahihi, lakini sio kwa umri ambao tumekuwa nao sisi kama taifa. Tukiendelea kufanya kilekile ambacho tumekuwa tukikifanya kwa zaidi ya miaka 60, I am afraid, our actions will fit Albert Einstein’s definition of insanity: “Doing the same thing over and over again and expecting different results”!
 
JK na utalii wake ndiye aliyejenga MOI, ndiye aliyeanzisha mradi wa mwendo kasi. Kafanya mengi sana lakini kwa kukosa kwetu shukrani huwa tunashambulia yale madhaifu machache ya awamu yake.

Hakuna rais wa TZ ambaye anao uwezo wa kumfurahisha kila raia wake. Kila rais anayo makosa yake hivyo hakufaa kabisa kuwa pale Ikulu, lakini ni kwa mujibu wa fikra zetu zilizojaa ukosoaji.
Jk ndio alijenga MOI?
 
Katibu mkuu wa Wizara ya Uwekezaji aliyeko Dubai amesema Rais Samia ataondoka Tanzania kuelekea Dubai kushiriki maonesho ya Expo 2020

Wawekezaji wengi sana wameonesha nia ya kuja kuwekeza Tanzania, amesema Katibu mkuu.

Chanzo: TBC
 
Attachments

  • 2E5DEB10-44D4-4B47-827C-BFB1546F77A0.jpeg
    2E5DEB10-44D4-4B47-827C-BFB1546F77A0.jpeg
    75.7 KB · Views: 2
  • 44E95169-EDDB-4829-875F-9D1F95D3CA30.jpeg
    44E95169-EDDB-4829-875F-9D1F95D3CA30.jpeg
    150.5 KB · Views: 2
  • B65165DC-38F1-4F16-906A-24E1E4E9E46E.jpeg
    B65165DC-38F1-4F16-906A-24E1E4E9E46E.jpeg
    131.1 KB · Views: 2
  • E6292AC7-0F06-4724-A98F-0FFD436A3C74.jpeg
    E6292AC7-0F06-4724-A98F-0FFD436A3C74.jpeg
    55.1 KB · Views: 2
Back
Top Bottom