TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
USD 450??!Use Diem - External
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
USD 450??!Use Diem - External
Samia anakaba hadi kona 🤣🤣🤣 Mambo mengine angemwachia makamu wake naye akaoshe macho kidogo.Samia ana roho mbaya, Mbona Yeye Magufuri alikuwa akimwachia hizo safari kila siku?Safi sana mama. Endelea kutufungulia dunia. Vijana tuna Imani na wewe.
Alivyorudi kutoka France ulikula nini?Safari Njema Mama. Mungu akutangulie. Ninajua kama kawaida yako utarudi na zawadi ule na sisi wanao.
hebu muelekeze mkuu aeleweUpeo wako kwenye masuala ya kimataifa unaonekana ni mdogo sana.
Sifa gani? Mtu Kama Kabudi wewe unaona anaweza fanya kipi?👇Hii sasa sifa ....
Kwani waziri wa mambo ya nche na ushirikiano ana kazi gani si akamwakilishe tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Fursa zinafunguka, unakutana na wenye maendeleo ambayo sisi hatuna.Haya yanasaidiaje kukutoa kwenye dimbwi la umasikini??
Sasa 77 zenu mnaweka ma nguo ya mtumba na mayeboyebo tuSabasaba za Tanzania haudhurii ila za nje anaenda [emoji24]
Kabudi ndio waziri wa mambo ya nje?Sifa gani? Mtu Kama Kabudi wewe unaona anaweza fanya kipi?[emoji116]
View attachment 2129911
View attachment 2129912
Huyo ni rais mwenye maono tofauti na hayati JPM aliyeamini katika siasa za ndani na akawanyanyapaa mabalozi katika vikao vya ikulu, akiwa amejawa na jeuri.
Faida ya safari kama hizi ni kujuana na wawekezaji wakubwa na kuwa karibu nao. Ni ulimwengu wa ushawishi, mtu anakula kwa ushawishi alionao kidunia, mtu anapata masoko ya bidhaa zake kwa ushawishi wa kiongozi wake kuwa karibu na wakurugenzi wa makampuni makubwa.
Tunapata wigo mpana wa watalii kwa uongozi wetu kuwa sehemu ya dunia pana. Tatizo lako nyboma umezikariri mno falsafa za JPM kiasi ambacho unaamini rais ni lazima apitie njia zile zile alizoziamini yeye.
Hawa walinzi wake wasipojenga maghorofa mbweni na Goba basi hawatajenga tena maishaniPer Diem - External
Hawa walinzi wake wasipojenga maghorofa mbweni na Goba basi hawatajenga tena maishaniPer Diem - External