Rais Samia kuondoka Februari 24, 2022 kuelekea Dubai kushiriki maonyesho ya Expo 2020

Rais Samia kuondoka Februari 24, 2022 kuelekea Dubai kushiriki maonyesho ya Expo 2020

Mama anaenda kushiriki maonesho aina ya sabasaba kweli? Ndio amefikia hatua hii?

Nalisikitikia taifa langu la Tanzania kwa kupata mzurulaji mzuri kama huyu
Hawa watu wa ukanda wa Pwani ya nchi yetu ni bure kabisa. Ni uswahili na umbea kwa kwenda mbele. Hawafai kuongoza nchi hawa!
 
Katibu mkuu wa Wizara ya Uwekezaji aliyeko Dubai amesema Rais Samia ataondoka Tanzania kuelekea Dubai kushiriki maonesho ya Expo 2020

Wawekezaji wengi sana wameonesha nia ya kuja kuwekeza Tanzania, amesema Katibu mkuu.

Chanzo: TBC
Safari Njema Mama. Mungu akutangulie. Ninajua kama kawaida yako utarudi na zawadi ule na sisi wanao.
 
Hayo maonyesho hata mwenyekiti wa kijiji angeweza kumuwakilisha huyo maza.
 
Salamu zao, Na akakope huko Uarabumi.ile kauli ya miradi mikubwa tunajenga kwa pesa zetu imeishia wapi. Bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere ni phantom project
 
Ndiyo pesa ziko nje mwacheni aende, si mnajua ndani hakuna kitu. Km nyumbani kwako wakati wa kilimo hulimi utavuna kweli? lazima utafute vibarua au msaada. Mama kaza mwendo tafuta hela.
 
Ile EXPO 1970 tulimpeleka Mzee Morris na ngoma zake 10, Wacheze nyoka na wengine, Banda la Tanzania lilipendeza na kuvutia. Shahidi wa haya ni Mbaraka Mwinyshehe wa Morogoro Jazz, Mungu amurehemu huko aliko, Aamin.

Mwaka huu EXPO 2022 tunawapeleka akina nani?
 
Back
Top Bottom