Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Bora ukose mali lakini upate akili.Muda mwingine mtuambiage ukweli kuwa anaenda kukopa.. mbona hatuna noma tumeshajizoelea sie!
Haina mvutoNdugu zangu Watanzania, kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hii kali.Bora ukose mali lakini upate akili.