Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Ushauri wangu kwako na niliwahi kukupa huko nyuma, Lucas wewe si msemaji wa serikali wala si mwajiriwa wa serikali, hizo barua za serikali unazoziweka humu wewe unazipataje? Kwa utaratibu wa serikali hilo ni kosa, rais si mtumishi wa chama cha siasa ambako barua za chama zinaweza zikatoka bila utaratibu wowote, barua za serikali zinatolewa kwa idhini rasmi kupitia katibu mkuu na waziri vinginevyo ni kosa.Ndugu zangu Watanzania, kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.