Rais Samia kuondoka leo Oktoba 29 kuelekea Marekani kuhudhuria mjadala wa Norman E. Borlaug

Ushauri wangu kwako na niliwahi kukupa huko nyuma, Lucas wewe si msemaji wa serikali wala si mwajiriwa wa serikali, hizo barua za serikali unazoziweka humu wewe unazipataje? Kwa utaratibu wa serikali hilo ni kosa, rais si mtumishi wa chama cha siasa ambako barua za chama zinaweza zikatoka bila utaratibu wowote, barua za serikali zinatolewa kwa idhini rasmi kupitia katibu mkuu na waziri vinginevyo ni kosa.
 
Kuna mtego kategewa huko ila sijui kama utafanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…