Wanaenda kuziba masikio zaidi hili waendelee na DPW yaoKama na bandari itakuwa ajenda wamefanya vyema sana!!
Tubeti mkuu!?Kama na bandari itakuwa ajenda wamefanya vyema sana!!
Agenda ipi, unadhani anawaita kuwaomba radhi, sana sana ni kuwatisha waufyate.Kama na bandari itakuwa ajenda wamefanya vyema sana!!
Adadavue kitu gani ikiwa terms za hovyo za ule mkataba zinajieleza wazi?Hiyo Katiba toleo la 2023 ni mpya au? Huyu Mwenezi anashindwa kuhariri vitu vidogo kama hivi ndo ataweza kudadavua Mkataba wa Bandari?
Unawajua hawa majambazi mkuu?Kama na bandari itakuwa ajenda wamefanya vyema sana!!
Tanganyika yetu irudiAdadavue kitu gani ikiwa terms za hovyo za ule mkataba zinajieleza wazi?
Hapo utasikia CHAMA KINAPONGEZA Mkataba mzuri wa BandariKama na bandari itakuwa ajenda wamefanya vyema sana!!
Wanaenda kuunga mkono na kuipongeza serikali kwa uwekezaji mzuriAdadavue kitu gani ikiwa terms za hovyo za ule mkataba zinajieleza wazi?
Toleo jipya lililoingiza uuzwaji wa rasilimali za taifa kama sera mojawapo ya chama.Hakuna Katiba ya CCM toleo la 2023. Hiyo Katiba toleo la 2023 ni mpya au? Huyu Mwenezi anashindwa kuhariri vitu vidogo kama hivi ndo ataweza kudadavua Mkataba wa Bandari?