MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Habari wanaJF.
Nimepata wasaa mzuri wa kutafakari haya mambo ya bandari na huu mchuano unaendelea kati ya wanaosapoti mkataba na wanaopinga.
Kwa vyovyote itakavyokuwa lazima tukubali kwa mara ya kwanza tumepata Rais anayependa ukweli na uwazi kwa vitendo. Haijawahi tokea wananchi wakajadili mikataba ya serikali kama hivi sasa.
Hii inamaanisha kwamba Rais alitaka kujua maoni ya Watanzania wote ndo maana akaruhusu huu mjadala. Kwa miaka mingi sisi wananchi huwa tunakuja kugundua mikataba ya kilaghai wakati tayari hela zishapigwa.
Kwa pamoja bila kujali itikadi za vyama, dini wala kabila tumpe maua yake Rais Samia Suluhu Hassan. Hii tayari ni legacy.