Mwenzetu unatumia nini kufikiri? Hakuna aliyetaka ujadiliwe, mkataba umevuja ilikuwa ni siriNi legacy kwa kuwa hakuna aliyewahi kulifanya hili hadharani,ili lijadiliwe na umma,ni mwanamama HUYU shujaa pekee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenzetu unatumia nini kufikiri? Hakuna aliyetaka ujadiliwe, mkataba umevuja ilikuwa ni siriNi legacy kwa kuwa hakuna aliyewahi kulifanya hili hadharani,ili lijadiliwe na umma,ni mwanamama HUYU shujaa pekee!
Akaruhusu au ulivujishwa?Kuna nini kimetokea? Mbona kama mnatafuta pa kakimbilia? Mkataba umekamata koo?
Hapo ndipo unaonesha kiwango kikubwa cha ujibga!Mama ni kiboko ya marais uchwara wote waliokufa,
Ohooo sorry nilitaka kuandika waliopita
Hizi simu janja ni shidaaaa
Hongera Sana mama
Wewe ni taahiraHabari wanaJF.
Nimepata wasaa mzuri wa kutafakari haya mambo ya bandari na huu mchuano unaendelea kati ya wanaosapoti mkataba na wanaopinga.
Kwa vyovyote itakavyokuwa lazima tukubali kwa mara ya kwanza tumepata Rais anayependa ukweli na uwazi kwa vitendo. Haijawahi tokea wananchi wakajadili mikataba ya serikali kama hivi sasa.
Hii inamaanisha kwamba Rais alitaka kujua maoni ya Watanzania wote ndo maana akaruhusu huu mjadala. Kwa miaka mingi sisi wananchi huwa tunakuja kugundua mikataba ya kilaghai wakati tayari hela zishapigwa.
Kwa pamoja bila kujali itikadi za vyama, dini wala kabila tumpe maua yake Rais Samia Suluhu Hassan. Hii tayari ni legacy.
Hata kuuza bandari kwenyewe ni legacyHabari wanaJF.

Sasa kwanini wengine wanakamatwaHabari wanaJF.

Nimekupata kwa sehemu, na uliyoyasema ni kweli.Habari wanaJF.

Duh! Nyani Ngabu kumbe upo legendary!!!Idadi ya wapumbavu inaongezeka kwa kasi ya ajabu sana!
Ni vigumu kuamini watu mko wapumbavu kiasi hiki.
Maybe you’re not that stupid. Maybe you’re just trolling.
I hope [not with bated breath] that it’s the latter
Serikali haikuuleta mkataba ila wazalendo wa kweli waliuvujishaHabari wanaJF.
Nimepata wasaa mzuri wa kutafakari haya mambo ya bandari na huu mchuano unaendelea kati ya wanaosapoti mkataba na wanaopinga.
Kwa vyovyote itakavyokuwa lazima tukubali kwa mara ya kwanza tumepata Rais anayependa ukweli na uwazi kwa vitendo. Haijawahi tokea wananchi wakajadili mikataba ya serikali kama hivi sasa.
Hii inamaanisha kwamba Rais alitaka kujua maoni ya Watanzania wote ndo maana akaruhusu huu mjadala. Kwa miaka mingi sisi wananchi huwa tunakuja kugundua mikataba ya kilaghai wakati tayari hela zishapigwa.
Kwa pamoja bila kujali itikadi za vyama, dini wala kabila tumpe maua yake Rais Samia Suluhu Hassan. Hii tayari ni legacy.
Legacy gani isiyokuwa na matokeo chanya?Habari wanaJF.

Kwa aina hii ya mkataba ambao ni lazima uridhiwe na bunge hakuwa na namna, lazima tu angeupeleka bungeni na hapo ndipo mamba kama haya yangejulikana. Kama ungekuwa mi mkataba kama hiyo inayofuata inayoitwa host government agreements (HGA) tusingeujua maana hiyo si lazima ipite bungeni.Kwanini baadhi ya watu mnapenda kujifanya ni vipofu hamuoni? Rais angeamua kunyamazisha huu mjadala asingeshindwa. Angeuzima mapema na hakuna yeyote ambaye angethubutu kuongelea. Kasome tena katiba ya JMT ujue nguvu alizo nazo Rais wa JMT na mwenyekiti wa CCM. Mama kaamua tu kuwa muungwana ndo maana watu wanajitoa ufahamu kama kina Lissu.
Na hii hoja ya Johari eti biashara ya siku hizi ni end to end yaani kampuni moja ifanye shughuli zote toka unakopatikana mzigo hadi unakoenda kwa mlaji, ni hoja mfu sana; ni kutengeneza monopoly ya kampuni moja.Legacy gani isiyokuwa na matokeo chanya?
Legacy??? Basi ni ya kijinga Sana, Binadamu ana haki ya kutoa maoni na si Rais akubali au akataeHabari wanaJF.
Nimepata wasaa mzuri wa kutafakari haya mambo ya bandari na huu mchuano unaendelea kati ya wanaosapoti mkataba na wanaopinga.
Kwa vyovyote itakavyokuwa lazima tukubali kwa mara ya kwanza tumepata Rais anayependa ukweli na uwazi kwa vitendo. Haijawahi tokea wananchi wakajadili mikataba ya serikali kama hivi sasa.
Hii inamaanisha kwamba Rais alitaka kujua maoni ya Watanzania wote ndo maana akaruhusu huu mjadala. Kwa miaka mingi sisi wananchi huwa tunakuja kugundua mikataba ya kilaghai wakati tayari hela zishapigwa.
Kwa pamoja bila kujali itikadi za vyama, dini wala kabila tumpe maua yake Rais Samia Suluhu Hassan.
Wewe NYANI kaa kimya.Idadi ya wapumbavu inaongezeka kwa kasi ya ajabu sana!
Ni vigumu kuamini watu mko wapumbavu kiasi hiki.
Maybe you’re not that stupid. Maybe you’re just trolling.
I hope [not with bated breath] that it’s the latter
Habari wanaJF.