Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Hakuna nchi ya Africa inaweza kushindana na nchi ya ulaya kwenye uzalishaji wa bidhaa za viwandani. China wameua kabisa viwanda vyetu vya ndani kupitia wafanyabiashara wachuuzi kariakoo na wengine kama Vunja bei.Ushindani na the best in the industry ndiyo kitu bora kuliko kubakia tunashindana na the weakest. Haijalishi leo tuna vichache vya kuuza huko kama Majani ya chai na Kahawa ila tukiwa na akili ya kuona mbele tunaweza tuka export holticulture products, nyama za mbuzi na kondoo na live animals kama mijusi, vipepeo, vinyonga etc
Kwa mtazamo wangu Mama anaupiga mwingi, tumuunge mkono tu kwa kuzalisha vilivyo bora.
Lakini kama tumeamua kuwa wasindikizaji kwenye uchumi wa Dunia basi tuendelee kubeza juhudi za Rais SSH