Ester505
JF-Expert Member
- Jul 14, 2020
- 793
- 1,049
Saaana tu.yaani makamu aweHuko tuendako nadhani nafasi ya u Makamu wa Rais itatiliwa maanani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saaana tu.yaani makamu aweHuko tuendako nadhani nafasi ya u Makamu wa Rais itatiliwa maanani
Ile Trade Agreement EPA iliyokuwa inapingwa kwa kila hali na CCM sasa kusainiwa na Raisi wa Tanzania Samia huko Brussels kwenye EU- Afrika Union summit.
EPA ni free trade Agreement Kati ya EU na Nchi za Afrika Mashariki zikiwemo Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi na Rwanda.
Tanzania walipinga EPA kwa maana hawakuona manufaa yoyote kwa nchi yetu kwani hatuna cha kuuza EU wakati EU wana kila kitu cha kuuza kwetu.
Je, Viwanda vyetu juice ya Azam na umeme wa mgao vita compete na EU products? Kama hapo Kenya tu au Uganda ni ngumu kushindana tutaweza EU ?
Ikumbukwe sukari kutoka Brazili ni cheaper kuliko ya Tanzania sasa EU products tax free Tanzania, tutaweza?
Tunategemea kuuza nini EU ? Vipi natural resources zetu ?
Kweli ni Vita ya Kiuchumi RIP Magu …
Rest in Hell Magufuli. Alituchelewesha sana kwenye hili. Anasema vita vya kiuchumi na watu wanakariri eti tunapigwa vita, ukiwauliza ni nani anawapiga vita ? Wanasema MabeberuIle Trade Agreement EPA iliyokuwa inapingwa kwa kila hali na CCM sasa kusainiwa na Raisi wa Tanzania Samia huko Brussels kwenye EU- Afrika Union summit.
EPA ni free trade Agreement Kati ya EU na Nchi za Afrika Mashariki zikiwemo Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi na Rwanda.
Tanzania walipinga EPA kwa maana hawakuona manufaa yoyote kwa nchi yetu kwani hatuna cha kuuza EU wakati EU wana kila kitu cha kuuza kwetu.
Je, Viwanda vyetu juice ya Azam na umeme wa mgao vita compete na EU products? Kama hapo Kenya tu au Uganda ni ngumu kushindana tutaweza EU ?
Ikumbukwe sukari kutoka Brazili ni cheaper kuliko ya Tanzania sasa EU products tax free Tanzania, tutaweza?
Tunategemea kuuza nini EU ? Vipi natural resources zetu ?
Kweli ni Vita ya Kiuchumi RIP Magu …
Watakaokuelewa ni wachache sana maana hili taifa vita ya kutoa ujinga tulishaifeli miaka ya tisini mwanzoni kabisa kwa sasa tunazalisha watu wajinga kwa makusudi kabisa.Huko tuendako nadhani nafasi ya u Makamu wa Rais itatiliwa maanani
So Magufuli tu,hata kikwete na mkapa waliukataa.Rest in Hell Magufuli. Alituchelewesha sana kwenye hili. Anasema vita vya kiuchumi na watu wanakariri eti tunapigwa vita, ukiwauliza ni nani anawapiga vita ? Wanasema Mabeberu
Ukiwauliza Mabeberu ni nani? Wanakuambia Nchi zilizoendelea za Ulaya na America? Na ni Nchi hizo hizo zinazotupa misaada na kumchangia bajeti ya Serikali.
Unaogopa mkataba wa EPA ? Why ? Mbona tuna vingi sana vya kuuza kuanzia kahawa, chai, maua, mkonge, wanyama hai, korosho nk
Kwa akili zako watanzania wengi wana uwezo wa kununua bidhaa za ulaya kweli. Ebu angalia hizo ten exports zao ni bidhaa wanazoleta africa kwa wingi kweli. Heck out of EU $5.4 trillion exports africa atufikisha ata billioni 100 na percentage kubwa hapo inajazwa na nchi kama nne tu.Rest in Hell Magufuli. Alituchelewesha sana kwenye hili. Anasema vita vya kiuchumi na watu wanakariri eti tunapigwa vita, ukiwauliza ni nani anawapiga vita ? Wanasema Mabeberu
Ukiwauliza Mabeberu ni nani? Wanakuambia Nchi zilizoendelea za Ulaya na America? Na ni Nchi hizo hizo zinazotupa misaada na kumchangia bajeti ya Serikali.
Unaogopa mkataba wa EPA ? Why ? Mbona tuna vingi sana vya kuuza kuanzia kahawa, chai, maua, mkonge, wanyama hai, korosho nk
Na unadhani hivyo vitu utauza ? Ngoja takupa link ya extract ya dialogue kwenye kitabu kimoja (though a Utopian Idea) Kinaitwa FAIR TRADE; a Gateway to Global Village; Takupa CHAPTER ONE; THE SO CALLED FREE TRADE; Mutual or Parasitic RelationshipRest in Hell Magufuli. Alituchelewesha sana kwenye hili. Anasema vita vya kiuchumi na watu wanakariri eti tunapigwa vita, ukiwauliza ni nani anawapiga vita ? Wanasema Mabeberu
Ukiwauliza Mabeberu ni nani? Wanakuambia Nchi zilizoendelea za Ulaya na America? Na ni Nchi hizo hizo zinazotupa misaada na kumchangia bajeti ya Serikali.
Unaogopa mkataba wa EPA ? Why ? Mbona tuna vingi sana vya kuuza kuanzia kahawa, chai, maua, mkonge, wanyama hai, korosho nk
Wale waliukataa kwa sababu zao ambazo zilikiwa na mantiki kwa wakati ule. Huyu ni Samia ngoja tukaribu pengine watangulizi walikuwa wana ugua "fear of the unknown"So Magufuli tu,hata kikwete na mkapa waliukataa.
Bado sijaona ubaya wa EPA. Kama wao production cost zao ziko juu wa bidhaa zao basi soko ndilo litaamua. Hakuna mfanyabiashara wa EU ambaye ataleta hizo FMCGs zake mahali penye low demand au penye lack of affordability.Kwa akili zako watanzania wengi wana uwezo wa kununua bidhaa za ulaya kweli. Ebu angalia hizo ten exports zao ni bidhaa wanazoleta africa kwa wingi kweli. Heck out of EU $5.4 trillion exports africa atufikisha ata billioni 100 na percentage kubwa hapo inajazwa na nchi kama nne tu.
Kwao wenyewe large part of fast moving consumer goods (FMCG) wanazalishia nje ya nchi, kukimbia production costs.
Ukisoma vizuri EPA wanataka wawekezeji kama hawa https://www.dnb.com/business-direct...limited.2d3c3935af59043715ff90adedac092d.html Unilever wakija kwa lengo la kutafuta raw material kama wanavyofanya sasa Mufindi kwenye chai wasibughudhiwe na kuwe na security.
Unilever ni biggest supplier EU wa fmcg wakati kwa Tanzania sales of their product ndio kwanza $7.6 million huyo si small player tu ata kwa soko la ndani. Why so, wakati wangeweza populate the market with their products? uhalisia ni kwamba FMCG ambazo huko kwao wanatumia watu wa kawaida zikija huku wanatumia matajiri na ivyo ndio vitu EU ingeweza export walau bei kuna baadhi ya watu wanazimudu.
Lengo la hiyo trade agreement ni kutengeneza ‘stabilisation clause’ ya pamoja kwa makampuni yao yatakayokuja kuwekeza Tanzania; sio jambo baya, but on what areas. Mtu alime mahindi nchi ina njaa aachiwe ayapeleke tu nje ya nchi au?
Mtu aje apewe shamba alime? au awafundishe wenyeji kulima kisasa na kununua kwao; walau sehemu ya mapato ya value chain ibakie nyumbani.
Nadhani neno nyumbu kwa sasa linawafaa wafuasi wa mama maana wao kila kitu wao hooray.
Swala sio ubaya wa EPA but what exactly are we agreeing on, tumeona kwenye COVID mabeberu kuna bidhaa walizuia ku import ata nchi jirani zao.
Wacha kuogopa!! Kenyana Ethiopia wanauza kahawa kwenye mihahawa ya Starbucks karibu the whole of Europe. Kama wao wameweza kwa nini sisi tushindwe?Na unadhani hivyo vitu utauza ? Ngoja takupa link ya extract ya dialogue kwenye kitabu kimoja (though a Utopian Idea) Kinaitwa FAIR TRADE; a Gateway to Global Village; Takupa CHAPTER ONE; THE SO CALLED FREE TRADE; Mutual or Parasitic Relationship
Kijakazi nenda kasome kwanza huo mkataba wa EPA. Issue ya kodi ni misconception ya wapingaji wa Mipango ya Rais Samia. Hii kitu inaopetate kama AGOA ya US.Unajua ni kwa nini Kampuni za Bia Tanzania zinanunua shairi kutoka nje wakati inalimwa hapa hapa pia ingawaje hiyo shairi ya kutoka nje bado inatozwa kodi lkn Kampuni za bia kwao bado ni bora kuagiza nje ? Tanesco tu wanaagiza nguzo za umeme nje miti ipo unajua ni kwa nini ? Sukari ya nje pamoja na kodi bado ni rahisi klk ya hapa hapa kwetu unajua ni kwa nini ? Leo hii ukiondoa kodi hali itakuwaje ?
Pilipili hoho,tangawizi,korosho, karanga,matango, maua na samaki.Kahawa inahitajika sana hasa Nchi za Scandinavia .Na wewe kwa akili zako mbovu unaamini hatuna cha kuuza Ulaya? Parachichi kwa mfano hatuwezi kuuza?
Viwanda vyetu vya ndani vilikufa kwenye mwisho mwa 1980s na ndiyo maana mwaka 1993-2000 vingi viliuzwa kupitia PSRC. Wachina wameanza kushambuliwa solo letu kwenye 2010 onwards.Hakuna nchi ya Africa inaweza kushindana na nchi ya ulaya kwenye uzalishaji wa bidhaa za viwandani. China wameua kabisa viwanda vyetu vya ndani kupitia wafanyabiashara wachuuzi kariakoo na wengine kama Vunja bei.
Kwani wewe kama wewe unauza nini huku Europe! Badala Azam alalamike unamlalamikia wewe, kwani akisaini huo mkataba na wao wazungu wakaleta hapa bongo unalazimishwa kununua?Ile Trade Agreement EPA iliyokuwa inapingwa kwa kila hali na CCM sasa kusainiwa na Raisi wa Tanzania Samia huko Brussels kwenye EU- Afrika Union summit.
EPA ni free trade Agreement Kati ya EU na Nchi za Afrika Mashariki zikiwemo Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi na Rwanda.
Tanzania walipinga EPA kwa maana hawakuona manufaa yoyote kwa nchi yetu kwani hatuna cha kuuza EU wakati EU wana kila kitu cha kuuza kwetu.
Je, Viwanda vyetu juice ya Azam na umeme wa mgao vita compete na EU products? Kama hapo Kenya tu au Uganda ni ngumu kushindana tutaweza EU ?
Ikumbukwe sukari kutoka Brazili ni cheaper kuliko ya Tanzania sasa EU products tax free Tanzania, tutaweza?
Tunategemea kuuza nini EU ? Vipi natural resources zetu ?
Kweli ni Vita ya Kiuchumi RIP Magu …
Let me breakdown this for you... FREE na FAIR TRADE ni mambo mawili tofauti sana..., Hii trade sio Free wala Fair...Wacha kuogopa!! Kenyana Ethiopia wanauza kahawa kwenye mihahawa ya Starbucks karibu the whole of Europe. Kama wao wameweza kwa nini sisi tushindwe?
.
Hii negativity na wrong mentality inatu affect kila mahali tunakuwa underdogs
Nilikua nakurekebisha tu kuwa sio Magufuli tu ambae alikataa, Bali ni pamoja na kikwete na mkapa.Wale waliukataa kwa sababu zao ambazo zilikiwa na mantiki kwa wakati ule. Huyu ni Samia ngoja tukaribu pengine watangulizi walikuwa wana ugua "fear of the unknown"
Uoga na umaskini wetu ni wa miaka na miaka. Pasipo kuwa na uthubutu huwezi kupiga hatua hata siku moja.Pia umesababisha wananchi kuwa mazuzu kusubiria kila kitu serikali na kulaumu,hatujui ubunifu na kuchangamkia fursa.
Ndio maana mimi naona turuhusu afu kwa njia hiyo tutajifunza kuwa aggressive badala ya kubaki na kurithishana maujinga yetu.
Naunga mkono Rais kusaini.