benzemah
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 1,533
- 3,187
Rais Samia Suluhu Hassan akiwasili uwanja wa ndege wa Waterkloof Air Force Base, Pretoria,nchini Afrika Kusini usiku wa kuamkia leo nakulakiwa na viongozi mbalimbali akiwemo Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Meja Jenerali Gaudence Milanzi na viongozi mbalimbali waandamizi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Afika Kusini ambapo Mhe Rais atashiriki Kikao cha #BRICSSummit2023 #BRICS2023 #BRICSSummit