Rais Samia Kushiriki Mkutano wa BRICS, Afrika Kusini

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,187
Rais Samia Suluhu Hassan akiwasili uwanja wa ndege wa Waterkloof Air Force Base, Pretoria,nchini Afrika Kusini usiku wa kuamkia leo nakulakiwa na viongozi mbalimbali akiwemo Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Meja Jenerali Gaudence Milanzi na viongozi mbalimbali waandamizi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Afika Kusini ambapo Mhe Rais atashiriki Kikao cha #BRICSSummit2023 #BRICS2023 #BRICSSummit


 
Si Jana alikuwa anampokea rais wa Indonesia?
Unauhakika yupo South Africa kweli?

Sijaona kama anaamini siasa za mrengo wa BRICS.
 
Sijamuona Cyril ramaphosa akimpokea mamaπŸ‘Œ
Si Jana alikuwa anampokea rais wa Indonesia?
Unauhakika yupo South Africa kweli?

Sijaona kama anaamini siasa za mrengo wa BRICS.
 
Sijaelewa, Rais anapokelewa na balozi wetu tu bila wenye nchi kuwepo? Labda labda....
Balozi wetu lazima awepo lakini kwenye picha si unamuona Waziri wa Afrika Kusini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…