Rais Samia kushusha zaidi bei ya mafuta mwishoni mwa Desemba 2021

Tanzania tuko vizuri sana
 
Tunataka maji na umeme kumamake...
 
Bado wiki moja ngoja tuone
 
Kwa muda huu na kazi hii huyu Mama anatufikisha salama tumwamini zaidi
 
Bei ya Dunia i
tashuka mwezi ujao kwasababu USA watatoa mafuta mengi kwenye soko na hivyo kupunguza bei. Acheni agenda za uongo sio nzuri
 
Natangaza rasmi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan,
 
Haya maelezo ni ya KWELI!? Kama ni kweli basi tutaona maisha yakiwa SUPER kwani gharama nyingi hasa za usafiri na usafirishaji zitapaswa KUSHUKA, kwa hali hiyo then everything will follow suit, if you know what I mean?!
😍😍
 
Hapa mama amecheza sana, Hawa waagiza mafuta walikuwa wanajipangia bei wanavyotaka tu,

Kwahili tuweke siasa pembeni tumpongeze Rais Samia,

Acheni kuimba kwaya zenu; mnampogezaje kwa kushusha bei ya Mafuta kwa maneno lakini ukienda kwenye pump bei ziko pale pale? Mnapewa maneno yasiyoendana na uhalisia wa bei za bidhaa husika; hivyo hivyo walisema wamepunguza kwa 30% tozo za miamala ya Simu lakini maumivu ya tozo kwa Wananchi yamebaki palepale!!! Wanasema sana lakini vitendo sifuri!!
 
Vikiishatokea ndo nitaamini... Tofauti na hapo ni porojo tu za kila siku.
 
Tayari bei ya gasi inapanda kuanzia Jumatano tar 1/12
 
Kwani desemba imefika? Acha papara
 
Naomba kujua Bei ya mafuta kwa Dec 21, imepanda au imeshuka?

Sio kila neno la mwanasiasa unatakiwa kupigia makofi hasa maneno yanayohusu hela/tozo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…