SawasawaTuzo hiyo ni biashara ya kutambua uongozi wake, mageuzi katika sekta ya elimu, juhudi zake katika kuimarisha diplomasia ya Tanzania pamoja na mchango wake katika kuimarisha hadhi ya Tanzania kimataifa, ikiwemo kupitia sekta ya utalii.
Actually anastaili hiyo heshima, mikutano ya kisiasa hivi Sasa inafanyika na vyama vya upizani muda wowote wautakao kitu ambacho mtangulizi wake aliviminya hivi vyama vikaminyika hasa na hakuna Chuchunge yoyote aliyethubutu kufyatua Domo lake.Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) nchini Urusi.
Tuzo hiyo ni ishara ya kutambua uongozi wake, mageuzi katika sekta ya elimu, juhudi zake katika kuimarisha diplomasia ya Tanzania pamoja na mchango wake katika kuimarisha hadhi ya Tanzania kimataifa, ikiwemo kupitia sekta ya utalii.
——————
President Samia Suluhu Hassan is scheduled to receive an Honorary Doctorate of Philosophy (Honoris Causa) from the Peoples' Friendship University of Russia (RUDN University). The accolade recognizes her leadership, educational reforms, and contributions to strengthening Tanzania's international diplomacy.
The honorary degree will be conferred during her state visit to Russia, where she is also attending the St. Petersburg International Economic Forum (SPIEF)
Wote wapo sawa upande wa kuminya demokrasia ila staili yao ni tofauti. Kiufupi Tanzania haina kiongozi ina mtawalaActually anastaili hiyo heshima, mikutano ya kisiasa hivi Sasa inafanyika na vyama vya upizani muda wowote wautakao kitu ambacho mtangulizi wake aliviminya hivi vyama vikaminyika hasa na hakuna Chuchunge yoyote aliyethubutu kufyatua Domo lake.
Nayaeshimu mawazo yako, lakini jibidishe kwenye kuifadhi kumbukumbu ndugu.Wote wapo sawa upande wa kuminya demokrasia ila staili yao ni tofauti. Kiufupi Tanzania haina kiongozi ina mtawala
Wajinga jinga Urusi kuna la maana lipi😂😂 nani amewahi kuzamia UrusiRais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) nchini Urusi.
Tuzo hiyo ni ishara ya kutambua uongozi wake, mageuzi katika sekta ya elimu, juhudi zake katika kuimarisha diplomasia ya Tanzania pamoja na mchango wake katika kuimarisha hadhi ya Tanzania kimataifa, ikiwemo kupitia sekta ya utalii.
——————
President Samia Suluhu Hassan is scheduled to receive an Honorary Doctorate of Philosophy (Honoris Causa) from the Peoples' Friendship University of Russia (RUDN University). The accolade recognizes her leadership, educational reforms, and contributions to strengthening Tanzania's international diplomacy.
The honorary degree will be conferred during her state visit to Russia, where she is also attending the St. Petersburg International Economic Forum (SPIEF).
Inasikitisha.Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) nchini Urusi.
Tuzo hiyo ni ishara ya kutambua uongozi wake, mageuzi katika sekta ya elimu, juhudi zake katika kuimarisha diplomasia ya Tanzania pamoja na mchango wake katika kuimarisha hadhi ya Tanzania kimataifa, ikiwemo kupitia sekta ya utalii.
——————
President Samia Suluhu Hassan is scheduled to receive an Honorary Doctorate of Philosophy (Honoris Causa) from the Peoples' Friendship University of Russia (RUDN University). The accolade recognizes her leadership, educational reforms, and contributions to strengthening Tanzania's international diplomacy.
The honorary degree will be conferred during her state visit to Russia, where she is also attending the St. Petersburg International Economic Forum (SPIEF).
Storekeeper unaulizwa hukuHivi zimeshafika ngapi mpaka sasa!
Urus sio mtoaji kama us hivyo huko kaenda kujiuza tu Rusia hana muda na mabakuli ya kiafrica labda kama hawamjui vizuriI can guarantee you one thing, Samia anaenda Urusi kwasababu moja pekee, anajua US na wazungu wengine UK na wenzao hawana tena muda nae.
Mambo yetu yalivyokuwa safi na US na wengine hao Urusi tuliwasahau kabisa, leo mambo yametibuka na US ndio tunageukia Urusi kwa kisingizio cha "hatufungamani na upande wowote"
Mbona mambo yetu yalivyokuwa safi na US "tulijifunga" na hao warusi miaka mingi?
Samia anajua ameshaharibu, sasa anajitutumua tu kutafuta psychological relief, kama vile anawaambia US sijali mtachofanya, but deep inside, anaumia anajua amefeli.
Licha ya kuwatuma kina Nyalandu kwenda US kujaribu kutuliza mambo jamaa wamegoma, hawataki story za uongo wao.
Urusi watampa nini kama kile alichozoea kukipata US na UK? Hawana, wako busy na vita yao Ukraine.
Na hata huko kutunukiwa "PHd ya Uongozi bora" ni muendelezo tu wa yale maigizo yao ya kawaida.