Rais Samia Kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari na Chuo Kikuu cha Patrice Lumumba, Russia

Rais Samia Kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari na Chuo Kikuu cha Patrice Lumumba, Russia

Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) nchini Urusi.

Tuzo hiyo ni ishara ya kutambua uongozi wake, mageuzi katika sekta ya elimu, juhudi zake katika kuimarisha diplomasia ya Tanzania pamoja na mchango wake katika kuimarisha hadhi ya Tanzania kimataifa, ikiwemo kupitia sekta ya utalii.

——————

President Samia Suluhu Hassan is scheduled to receive an Honorary Doctorate of Philosophy (Honoris Causa) from the Peoples' Friendship University of Russia (RUDN University). The accolade recognizes her leadership, educational reforms, and contributions to strengthening Tanzania's international diplomacy.

The honorary degree will be conferred during her state visit to Russia, where she is also attending the St. Petersburg International Economic Forum (SPIEF).
Zimbabwe in Making. A Air Hostess full of empty brain
 
Kuna jambo/rasilimali mrusi anazitaka hapa Tanganyika.

Anajua wazi waafrika wanapenda sana vilemba akaamua kumvika Hangaya kilemba cha ukoka ili apate anachotaka.
Aibu ..!
 
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) nchini Urusi.

Tuzo hiyo ni ishara ya kutambua uongozi wake, mageuzi katika sekta ya elimu, juhudi zake katika kuimarisha diplomasia ya Tanzania pamoja na mchango wake katika kuimarisha hadhi ya Tanzania kimataifa, ikiwemo kupitia sekta ya utalii.

——————

President Samia Suluhu Hassan is scheduled to receive an Honorary Doctorate of Philosophy (Honoris Causa) from the Peoples' Friendship University of Russia (RUDN University). The accolade recognizes her leadership, educational reforms, and contributions to strengthening Tanzania's international diplomacy.

The honorary degree will be conferred during her state visit to Russia, where she is also attending the St. Petersburg International Economic Forum (SPIEF).
Nae bila aibu ataipokea
 
Kwaiyo anawaringishia USA [emoji23][emoji23][emoji23]
Akisema ' US is being isolated ( refer her war vs Iran Ulaya walimsusa)' hivyo nahimarisha reliable developmental partner utaongeza neno gani?
===
Sababu wanazo, povu ruksa, maana kwa Sasa network zangi hazishiki sawa sawa.
 
I can guarantee you one thing, Samia anaenda Urusi kwasababu moja pekee, anajua US na wazungu wengine UK na wenzao hawana tena muda nae.

Mambo yetu yalivyokuwa safi na US na wengine hao Urusi tuliwasahau kabisa, leo mambo yametibuka na US ndio tunageukia Urusi kwa kisingizio cha "hatufungamani na upande wowote"

Mbona mambo yetu yalivyokuwa safi na US "tulijifunga" na hao warusi miaka mingi?

Samia anajua ameshaharibu, sasa anajitutumua tu kutafuta psychological relief, kama vile anawaambia US sijali mtachofanya, but deep inside, anaumia anajua amefeli.

Licha ya kuwatuma kina Nyalandu kwenda US kujaribu kutuliza mambo jamaa wamegoma, hawataki story za uongo wao.

Urusi watampa nini kama kile alichozoea kukipata US na UK? Hawana, wako busy na vita yao Ukraine.

Na hata huko kutunukiwa "PHd ya Uongozi bora" ni muendelezo tu wa yale maigizo yao ya kawaida.
Hivi, anaenda "KUTUNUKIWA" au "KUTUNDIKIWA" piichidii?
 
Naona tunaanza ku- switch upande sasa tunataka tupate misaada kwenye mataifa ambayo hayajali unaishije na watu wako. That why nasemaga mataifa kama urusi, China ni hatari sana kwa ustawi wa demokrasia Duniani.

Hebu siku Moja fikiria ikitokea China ama Urusi ndio wakawa viranja wa Dunia hawa watawala wetu wa kiafrica watatufanya Nini sisi wananchi???
 
20260408_161612.jpg

Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) nchini Urusi.

Tuzo hiyo ni ishara ya kutambua uongozi wake, mageuzi katika sekta ya elimu, juhudi zake katika kuimarisha diplomasia ya Tanzania pamoja na mchango wake katika kuimarisha hadhi ya Tanzania kimataifa, ikiwemo kupitia sekta ya utalii.
 
View attachment 3599670

Walishagundua udhaifu wa viongozi wa Africa ulipo....... "Mpe heshima za phd"
 
Badala ya kupewa dili la biashara anapewa tuzo ya heshima.....hii heshima yake inatusaidia vipi kwenye uchumi?
Pumbavuu zakooo weweee mazaa
 
Dr.Zack.
June 2,2026.06:54AM.

Baada ya Serikali ya Tz jana kutangaza kuwa Mh Rais Samia Suluhu Hassan kesho June 3,2026 anaanza ziara ya siku mbili Nchini Urusi ilinifurahisha sana.

Hii inaweza kuwa ni ziara bora zaidi na ya kimkakati sana tangu Mh Rais Samia Suluhu Hassan aingie Ikulu baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.Hii ziara ya Nchini Urusi ya Mh Rais Samia,kwangu mimi ni zaidi ya ziara.

Ziara hii imenipa nafasi ya kuja na neno lingine jipya kwenye mawanda mapana ya mahusiano ya kimataifa-mkakati yaani "GEOPOLITICAL DEPLOMACY".Kwenye mfumo huu mpya ambao wajuzi wa mahusiano ya kimataifa Mkakati wanatakiwa kuwafundisha Wanafunzi wao huko Vyuoni ni kwamba👇🏽👇🏽👇🏽

Kuna mambo Makuu kama Matatu hivi kwa mtazamo wangu Mimi "a state has to achieve" katika siasa mKakati za kimataifa za kisasa ambayo ni (I)Strategic Alliance to consolidate nation's powers(II)Alliance for Resource share na tatu (III)while defending National Security and Sovereignity.

Ziara ya Mh Rais Nchini Urusi inakwenda "kuioffer"Nchi yangu Tanzania mambo yote matatu kwa pamoja na hii ndio MIMI nimeipa jina leo kuwa ni aina mpya ya diplomasia ya dunia ambayo ni lazima(TZ) unakubali kuwa hauwezi kuwa na (I)Maadui wote na hauwezi kuwa na (II)Marafiki wote ndani ya dunia hii.

IPO HIVI👇🏽👇🏽

Katika aina hii mpya ya Diplomasia ya dunia ni kwamba,kwa maoni yangu inaigawa dunia katika mafungu makuu matatu ya kimkakati;(I)Alliance ya CHINA URUSI na wafuasi wao(II)Marekani na Ulaya na washirika wao na (III)Mashariki ya kati na washirika wao.

Katika aina hii ya "Triangle Geopolitical Diplomacy"Nchi za bara la Afrika Tanzania ikiwemo zitalazimika kuchagua strategic wadau ambao wanaweza kulinda kwanza (I)Maslahi yake ya Ulinzi Usalama na Uhuru wake kama Taifa kabla wadau hao hawajalinda(II)maslahi yake ya kiuchumi pekee yake na hii ndio nimeiita "Geepolitical diplomatic shift".

Mfano,Mswada wa Bunge la Senate la Marekani dhidi ya Tanzania unaoendelea kuchakatwa kule Marekani na Wabunge wetu kuupigia kelele sana wiki jana kuwa unaingilia Uhuru wetu kama Nchi ni mfano mzuri wa " Geopolitical alliance" ambayo hailindi maslahi ya ULINZI NA UHURU wa Tanzania ambao kwangu mimi mswada ule ni hatari kwa maslahi mapana ya uhuru wa Taifa langu Tanzania.

Ziara ya Mh Rais Samia Nchini URUSI kwa jicho la Sovereignity Diplomacy una lengo kuu la kulinda Uhuru wa Nchi kwanza then utatupa pia maslahi yetu mengine ya kiuchumi kama Nchi.

Kama Wanaharakati na wana Chadema wanaendelea kudhani kuwa wanaweza "kutumia"Nchi flani flani kubwa huko duniani kutekeleza programu zao za Political Terrorism ndsni ya Tanzania nadhani ziara ya Mh Rais URUSI IMEWAVURUGA😁

Mfano mwingine ni huu mgogoro wa Mkondo bahari wa Hormus pale Iran unaweza kukupa picha kuwa Geopoligical Diplomacy ndio msingi wa kwanza wenye kuweza kulinda maslahi ya Nchi yoyote ile duniani.

Nchi majirani na Iran(Middle East) ziliamua "kumaintain" ALLIANCE na jirani Iran kuliko kuungana kumpiga Tehran na hapa lengo lilikuwa ni kulinda maslahi yao kwanza ya Kiulinzi na Usalama wa kikanda (Geopolitical Security & Soverignity).

HITIMISHO.

Katika mfumo huu mpya wa Mahusiano ya Kimataifa-Mkakati(Geopolitical Diplomacy),Nchi yoyote kwanza inapaswa kulinda UHURU wake kabla ya kulinda Maslahi yake ya kiuchumi.

Planners wa ziara hii ya Mh Rais Samia URUSI wamekuwa na "akili mingi" sana na automatically inazima matishio ya awali dhidi ya Uhuru wa Nchi yangu Tanzania.

Tanzania Kwanza.🇹🇿🇹🇿🇹🇿
20260602_083014.png
20260602_083019.png
 
Hivi ukiumpa jambazi karatasi ya heshima, ataheshimika kuanzia siku uliyompa?

Hicho kinachoitwa shahada ya heshima, hitolewa kwa wale ambao hawana heshima ili kuzidi kuwapumbaza.

Uliishasikia hata siku moja kiongozi anayeheshimika toka mataia yanayoheshimika anasafiri kwenda nchi nyingine kupewa kitu kinachoitwa shahada ya heshima?

Ikiwa matendo yako yamekuondolea heshima, hata upewa rumdo la tani moja la makaratasi yaliyoandikwa shahada ya heshima, kamwe hayawezi kukufanya uheshimike. Hayo makaratasi yatabakia tu kuwa sehemu ya ucjafu ambao tayari unao.
 
Kweli hawa jamaa wanajua ujuha wa viongozi wetu, wanampatia karatasi ambayo hajaisumbukia kwa vyovyote vile, kisha atasaini mkataba wa kutoa madini yetu ya Uranium na mengine kwa hao Russia, safari tunayo ndefu sana. Eee Mwenyezi Mungu tazama waja wako.

JPM alipata kusema wakati anatunukiwa ya UDOM, hivi vitu vinaitwa kutambua mchango ni vya bure pasipo kuvisotea, nyuma yake lazima vinakuwa na kitu kingine.
 
Cheti alichopewa lissu afrika ya kusini alikuwa amekisumbukia?,acheni ujinga wenu chadomo.
IFAHAMIKE HAENDI RUSSIA KWA AJILI YA CHETI,ANAKWENDA KIBIASHARA ZAIDI HASA MAMBO YA NISHATI,UTALII NA MAUZO YA BIDHAA NCHINI HUMO,
HEADING INAPOTOSHA?
 
Kwani akienda kwa mambo ya biashara pekee bila hizo kitu nyingine unapata shida gani. Huo unaoita ujinga na kupandikiza sijui Chadema kwa kila mwenye mtazamo tofauti na wako una uhakika nao? Ama wewe ndio mmliki halisi wa huo ujinga ndugu yake.
 
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) nchini Urusi.

Tuzo hiyo ni ishara ya kutambua uongozi wake, mageuzi katika sekta ya elimu, juhudi zake katika kuimarisha diplomasia ya Tanzania pamoja na mchango wake katika kuimarisha hadhi ya Tanzania kimataifa, ikiwemo kupitia sekta ya utalii.

——————

President Samia Suluhu Hassan is scheduled to receive an Honorary Doctorate of Philosophy (Honoris Causa) from the Peoples' Friendship University of Russia (RUDN University). The accolade recognizes her leadership, educational reforms, and contributions to strengthening Tanzania's international diplomacy.

The honorary degree will be conferred during her state visit to Russia, where she is also attending the St. Petersburg International Economic Forum (SPIEF).
well done Russians 👊
 
Back
Top Bottom