Rais Samia Kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari na Chuo Kikuu cha Patrice Lumumba, Russia

sio taifa linamtunukia ni chuo..vyuo pia vina mamlaka zake elimikeni
 
wewe kweli nyani.
Actually anastaili hiyo heshima, mikutano ya kisiasa hivi Sasa inafanyika na vyama vya upizani muda wowote wautakao kitu ambacho mtangulizi wake aliviminya hivi vyama vikaminyika hasa na hakuna Chuchunge yoyote aliyethubutu kufyatua Domo lake.
 
Uongozi bora kivipi?lamoja na mauaji ya mo29 bado wanatunukiana PhD za mchongo.Tukakinukisha hado urusi
 
😀😀😀😀

Kuna muda yanayo endelea duniani inabidi ucheke tu

Kweli mwenye nacho huongezewa
 
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari na Chuo Kikuu cha Patrice Lumumba nchini Urusi kesho, ikiwa ni sehemu ya ziara yake rasmi ya kiserikali nchini humo

"Ninafurahi sana kwamba baada ya kuapishwa kwako, uliamua kuitembelea Urusi kama nchi ya kwanza kwa ziara yako rasmi ya kiserikali. Hii ni ishara nzuri sana kwamba katika miaka yote hiyo, ulipokuwa waziri na baadaye makamu wa rais, uliendelea kutoa umuhimu mkubwa katika kuendeleza uhusiano na nchi yetu.

Mahusiano yetu yamekuwa yakikua kwa kasi kubwa. Mwaka jana, kiwango cha biashara kati ya nchi zetu kiliongezeka kwa asilimia 20 hadi 25, jambo ambalo ni kiashiria kizuri sana. Bila shaka tunahitaji kuongeza zaidi kiwango hicho cha biashara, na tuna fursa zote za kufanya hivyo katika maeneo mbalimbali kama vile nishati, utafiti wa kijiolojia, usafirishaji, huduma za vifaa na ugavi, afya na elimu.

Asante.

Kwa njia, ninafahamu kwamba kesho utatunukiwa shahada ya heshima ya udaktari kutoka Chuo Kikuu chetu cha Patrice Lumumba, na ninakutakia hongera mapema kwa heshima hiyo.

Soma Pia: Rais Samia atunukiwa Tuzo ya Heshima Nigeria kwa mchango wake kwa Jamii na Ubinadamu

Kuhusu masuala ya kimataifa, tunashirikiana kwa karibu sana. Tunaisikiliza na kuielewa misimamo ya kila upande, na tunaendelea kupeana msaada. Tumezungumza hivi punde kuhusu fursa zilizopo, na nina matumaini kwamba jambo hilo litatimia kesho au siku inayofuata.

Kuna CHADEMA mmoja aliandika kwamba chuo kitakachompa shahada ya heshima Rais Samia hadhi yake ni sawa na Amazon College!.

Ujinga upo mwingi sana Tanzania unasambazwa kwa kutumia mitandao ya kijamii.
 
Mamako shule ilimshinda ndio maana anapenda u daktari fake, mtu msomi hawezi papatikia sifa za kijinga hv!.
Uliwahi kumsikia Mkapa akiitwa Dr?!.
 
Mtu ambaye shule ilimshinda anapowaongoza wenye shule wengi kama wewe hiyo ni shule nzuri yenye uhalisia wa maisha tunayoishi.

Trump akiwa vyuoni mitihani yake yote alifanyiwa na marafiki zake, mtupu kichwani lakini leo analolisema akiwa White House ni sheria dunia nzima.

Kuwa na elimu suala moja kuweza kuwa kiongozi wa ngazi ya urais ni mpango wa Mungu.
 
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari na Chuo Kikuu cha Patrice Lumumba nchini Urusi kesho, ikiwa ni sehemu ya ziara yake rasmi ya kiserikali nchini humo

"Ninafurahi sana kwamba baada ya kuapishwa kwako, uliamua kuitembelea Urusi kama nchi ya kwanza kwa ziara yako rasmi ya kiserikali. Hii ni ishara nzuri sana kwamba katika miaka yote hiyo, ulipokuwa waziri na baadaye makamu wa rais, uliendelea kutoa umuhimu mkubwa katika kuendeleza uhusiano na nchi yetu.

Mahusiano yetu yamekuwa yakikua kwa kasi kubwa. Mwaka jana, kiwango cha biashara kati ya nchi zetu kiliongezeka kwa asilimia 20 hadi 25, jambo ambalo ni kiashiria kizuri sana. Bila shaka tunahitaji kuongeza zaidi kiwango hicho cha biashara, na tuna fursa zote za kufanya hivyo katika maeneo mbalimbali kama vile nishati, utafiti wa kijiolojia, usafirishaji, huduma za vifaa na ugavi, afya na elimu.

Asante.

Kwa njia, ninafahamu kwamba kesho utatunukiwa shahada ya heshima ya udaktari kutoka Chuo Kikuu chetu cha Patrice Lumumba, na ninakutakia hongera mapema kwa heshima hiyo.

Soma Pia: Rais Samia atunukiwa Tuzo ya Heshima Nigeria kwa mchango wake kwa Jamii na Ubinadamu

Kuhusu masuala ya kimataifa, tunashirikiana kwa karibu sana. Tunaisikiliza na kuielewa misimamo ya kila upande, na tunaendelea kupeana msaada. Tumezungumza hivi punde kuhusu fursa zilizopo, na nina matumaini kwamba jambo hilo litatimia kesho au siku inayofuata.

Amazon college
 
Mtu ambaye shule ilimshinda anapowaongoza wenye shule wengi kama wewe hiyo ni shule nzuri yenye uhalisia wa maisha tunayoishi.

Trump akiwa vyuoni mitihani yake yote alifanyiwa na marafiki zake, mtupu kichwani lakini leo analolisema akiwa White House ni sheria dunia nzima.

Kuwa na elimu suala moja kuweza kuwa kiongozi wa ngazi ya urais ni mpango wa Mungu.
Mkuu acha porojo za kichawa, PhD fake haziondoi ukilaza wa mtu!
 
Back
Top Bottom