Coment yako imenifikirisha sana, kwamba Samia ameua Upinzani bila kutumia nguvu nyingi...
Ni upinzani wenyewe wamejipeleka na kujipendekeza kwa Rais.
Sidhani kama Samia anastahili credit ya kubuni namna ya kuua upinzani. Wenyewe wana commit suicide.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Coment yako imenifikirisha sana, kwamba Samia ameua Upinzani bila kutumia nguvu nyingi...
Maccm yamebakia yanabubujikwa machozi.Kuna chama cha upinzani kinajiua chenyewe bila kujua.
Duh.
Kama huwezi kuwashinda basi ungana nao tu utawashinda.
Imeisha hiyooooooAmen [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Maccm ndiyo wanahitaji kutumia jina hilo ili kuwafanya wananchi wazidi kuwachukia vyama mbadalaHakuna chama Cha upinzani,hapa ndipo tunapokosea na huenda ni kutokana na kasoro zilizoko kwenye lugha yetu ya kiswahili.., ukiangalia lugha ya kiingereza Huwa Wanatumia neno critical/critics, wakitaka kurejelea upinzani.., upinzani ni neno lenye ukakasi na linaloleta taswira mbaya,na huenda ndio maana viongozi wengi wa kisiasa hasa Africa wanalichukulia kama lilivyo na kutreat accordingly!
Yupo anapumlia mipira tu pale kisongoSabaya anaendeleaje???
Umesahahu jiwe alikuwa anaweka jiwe hadi kwenye masoko ya kuuzia mchicha?Kwenye hili Mbowe angewaacha Mwenyekiti na Katibu Mkuu watambe kwenye siku yao. Wasiigeuze hiyo siku kuwa ya Chadema ( high table kujaa wanaume wenzake) na sio ya Bawacha. Ampokee Mwenyekiti mwenzake halafu amuache aselebuke na wanawake wenzake. Atajijengea heshima akikubali kufunikwa na wanawake kwenye siku yao.
Amandla...
Wawaulize wa [emoji1184] jinsi watu walivyo susia uchaguzi waokwa taarifa yako watanzania wengi wamepuuza kitu kiitwacho uchaguzi. Tegemea kuona idadi ndogo sana ya wapiga kura chaguzi zijazo.
Pale mkurya anapo kubali mziki wa maridhianoUmoja wa Wanawake wa Chama Kingine Wao wako busy tu Kugombania Mabwana za Watu na Kurogana ili Teuzi ziwakute Wao tu.
Ni uthibitisho kuwa Viongozi wakuu wa Chadema wamelamba asali.
Rais anayeendelea kuwakumbatia wanawake 19 waliofoji nyaraka za chama, wakafukuzwa uanachama na bado anawakingia kifua ili wabaki bungeni waendeelee kula kodi za wananchi utamwalikaje kwenye kikao cha wanawake watiifu kwa chama?
Mbowe anaigeuza Chadema kuwa tawi la CCM.
Na ni ushahidi kuwa akina Mbowe wanampigia kampeni ya urais Samia in exchange ya viti vichache vya ubunge watakavyogawana akina Mbowe na genge lake.
Nigeria ipi? Ya ChanikaWawaulize wa [emoji1184] jinsi watu walivyo susia uchaguzi wao
Tatizo lako chanzo chako cha habari ni tbc na radio uhuruNigeria ipi? Ya Chanika
Sasa yule shetani wenu alishindwa Nini mambo kama haya? Hakuna haja ya kutumia nguvu kwenye siasa ni consensus tu na win-win situation.Samia apewe PhD ya heshima ya Siasa.
Mnajifia kisayansi sanaSasa yule shetani wenu alishindwa Nini mambo kama haya? Hakuna haja ya kutumia nguvu kwenye siasa ni consensus tu na win-win situation.
Mbona Kenyatta na Odinga walikua rivals ila wakafanya handshake na hukuona vurugu tokea hapo. Upinzani sio uadui sijui nani alituaminisha hili mnaweza mkashindana bila kugombana.
Si mmeridhiana? Sasa mtasusiaje uchaguzi?kwa taarifa yako watanzania wengi wamepuuza kitu kiitwacho uchaguzi. Tegemea kuona idadi ndogo sana ya wapiga kura chaguzi zijazo.
Hivi unafikiri wananchi wa kawaida huko mtaani wanajali hata Rais akienda huko?
Si mmeridhiana? Sasa mtasusiaje uchaguzi?
Nisome vizuri Mkuu. Sijakataa Mbowe kumpokea Mwenyekiti mwenzake. Nilichosema ni kuwa mkutano wa wakina mama ni lazima uwe na sura ya wakina mama. Itakuwa vyema kama mara baada ya kumpokea Mwenyekiti mwenzake amuachie meza Mwenyekiti wa Bawacha ambae sio tu ni mwanamke lakini ni mzanzibari kama Mwenyekiti wa CCM. Haitapendeza kama meza kuu watajazwa wakina Lema, Heche, Msigwa na kuwaacha wakina Suzan na wanawake waandamizi kibao wa Bawacha. Ingekuwa mimi wale wakina mama waliojigalagala pale kwenye ubalozi wa Marekani, waliofungwa, yule wa Chato, kuna yule wa Njombe n.k. wotewangepewa nafasi za kipekee. Chadema inatakiwa kuwashukuru kwa jinsi walikipigania chama chao. Wanaume tunawaona katika kila mkutano. Tarehe 8 ni siku ya wanawake wa Bawacha kutamba. Wasipokonywe siku hiyo.Umesahahu jiwe alikuwa anaweka jiwe hadi kwenye masoko ya kuuzia mchicha?
Kwanini hakuwaachia watendaji waliochini yake?
Mbowe anaenda pale kumpokea kiongozi mwenzake wa ngazi za juu kabisa wa nchi yetu
Jibu zuri sana kwa huyo mtoto wa zzkMbona kibuyu kilimalizwa zamani na akina Palamagamba Kabudi , Lukuvi na Sukuma Gang