Rais Samia kuwa mgeni rasmi kongamano la BAWACHA siku ya wanawake duniani

Kumbuka Samia anatoka Zanzibar hajazoea ujambazi na uhuni wa bara. Dini yake inamfunga kuwa kila mtu ana haki sawa hakuna aliye juu ya mwenzake na ukumbuke ni muislamu siyo dini ya kijinga na ya kijasusi na ya kuuana ya kikristo

..Samia atakuwa ktk uhalisi wake na kutoa makucha wakati wa Uchaguzi na kutangaza matokeo.

..Sasa hivi Ccm na Cdm wanatumiana tu. Subirini 2024 na 2025 muone kitakachotokea.

..JK mnayemsema ni muungwana si ndio alipora uchaguzi wa Znz akimtumia Bwana Jecha.

..Na unasema Znz hawajazoea ukatili umesahau mauaji ya wakati wa Karume mkubwa?
 
Karume mkubwa si aliuawa na nyerere au
 
Ni mpumbavu kama wewe anaamini kuwa rais ni wa wanaccm tu na wananchi wengine wanaishi nchini bila ya kuwa na rais! Wapumbavu hawa hawajui kuwa rais ni kiongozi wa kiserikali na siyo kiongozi wa CCM.
 
Kumbuka Samia anatoka Zanzibar hajazoea ujambazi na uhuni wa bara. Dini yake inamfunga kuwa kila mtu ana haki sawa hakuna aliye juu ya mwenzake na ukumbuke ni muislamu siyo dini ya kijinga na ya kijasusi na ya kuuana ya kikristo
Acha udini na kuona dini yako ndio bora kula nyingine.niambie dini gani inarusu ujambazi na uhuni
 
Hii ndiyo njia JPM alitakiwa kuitumia Kuiua CHADEMA na si ile aliyoitumia!

Ni swala la Muda tu, watanzania wataamua watakavyo pigia chama gani katika uchaguzi Mkuu!

Maisha yanakwenda kwa kasi sana!
Hii ndo ilikuwa njia sahihi kwake Tena alitakiwa awe rafiki nao zaidi ndo atumie kupigana na wafanya biashara wale aliopambana nao then dk za 90 ndo aje awasaliti
 
Kumbuka Samia anatoka Zanzibar hajazoea ujambazi na uhuni wa bara. Dini yake inamfunga kuwa kila mtu ana haki sawa hakuna aliye juu ya mwenzake na ukumbuke ni muislamu siyo dini ya kijinga na ya kijasusi na ya kuuana ya kikristo
Kwahiyo inabidi tunzingatie kipengele cha dini tunapotaka kuchagua rais wa nchi ili tusipate marais wauwaji?
 
Wewe sukuma gang nini?
 
mamayenu analambisha rushwa huku anapambana nayo unategemea ataweza kutokomeza rushwa huko lumumba.
 
Jiwe alikuwa anaigawa nchi kwenye vipande vipande ili aweze kuitawala kirahisi maana hakuwa anajiamini.
 
Naunga mkono hoja
 
ACT ni janga lingine la siasa za mageuzi hapa nchini baada ya Jiwe ukiwepo na wewe na kaka yako zzk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…