Rais Samia kuwa mgeni rasmi kongamano la BAWACHA siku ya wanawake duniani

Kuna mchungaji mmoja aliwahi kusema vijana wa kiislam ni waaminifu sana. Na Mimi Leo nasema maraisi waislamu ni waungwana sana wanajali haki utu na usawa .Mimi ni mkristo tena mwana chadema hiz hatua anazochukua Huyu mama ni sahihi na Nina muunga mkono.siasa sio uadui . Sasa ninaanza tena kujivunia kuwa mtanzania.
Yaani wewe mama ambaye ni Raisi wetu Kwa Sasa binafsi ninakupenda sana. Jenga nchi yetu Kwa upendo mshikamano na demokrasia utu ni Bora sana kuliko vitu.
MUNGU WAKO NA UKULINDE SANA
 
Hii ndo ilikuwa njia sahihi kwake Tena alitakiwa awe rafiki nao zaidi ndo atumie kupigana na wafanya biashara wale aliopambana nao then dk za 90 ndo aje awasaliti
kwanini mnapenda watu wawe wanafiki?
Binafsi katika vitu nilikua namhusudu JPM ni kutokua mnafiki, na wanasiasa mlotaka azuge anawapenda ni aina hii ya mbowe na lissu na zitto??


Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Labda asali inayopatikana katikati ya mapaja ya mamako
 
Huyo jamaa ni mwana ACT lkn nashangaa ni shida gani anaumia sana kuona CDM wanafikia muafaka na mamlaka husika ili kuleta amani.
Hata mimi nashangaa ACT imekuwaje ghafla kuwa mshauri wa chadema? Chadema wakimpinga rais ACT na CCM hulalamika, na vilevile wakimsifia Rais hulalamika vilevile. Sasa unajiuliza hawa raia ni watu wa namna gani?
 

Je hivi ndivyo itakavyokuwa?

1. Bawacha hawataweza kumkosoa Ssh.

2. Ssh hataweza kuwakosoa Bawacha.

Kwamba yeyote atakayemkosoa mwenzake ataitwa mnafiki?
 
Hata mimi nashangaa ACT imekuwaje ghafla kuwa mshauri wa chadema? Chadema wakimpinga rais ACT na CCM hulalamika, na vilevile wakimsifia Rais hulalamika vilevile. Sasa unajiuliza hawa raia ni watu wa namna gani?
Hao ni wanafiki wanachohitaji ni kuona wanakuwa wao chama kikuu cha upinzani wakati sifa hizo hawana.

Zzk hafai kabisa kuwa kwenye kivuli cha upinzani wakati ni ccm b.

Hadi sasa wamechukia sana kuona cdm inakubalika sana kwa rais wa nchi.
 
JokaKuu Kalamu brazaj zitto junior econonist

pitieni hoja za huyu mdau..
 
Mambo yanazidi kunoga haya!

Ni vizuri kwamba yanajipambanua kungali mapema ili watu wajipange kila mtu kivyake.

Mmoja kati ya hao waalikwa uliotuita hapa, tayari anasema ni "'win-win' scenario', kuhusu kukumbatiana huko kati ya Samia na Mbowe!

Mimi nasema 'bring it on'!
 
Pigo kubwa sana kwa walinda legacy!!
 
Misingi ya chadema inavunjika
Mimi nilisema mara ya kwanza, baada ya kumsikia Mbowe kwenye hotuba yake kule alikoitoa kwa Diaspora, kwamba "CHADEMA KWISHA"..., sasa narudia CHADEMA mahututi, sijui kama itasalimika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…