Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Upo sahihi boss, hata maridhiano ya Ccm na CUF chini ya Maalim Seif (Rip) huko Zanzibar yalienda kwa mwendo huu huu, ila kilichotokea mwaka 2015 na baadae 2020 sote tulikiona...Samia atakuwa ktk uhalisi wake na kutoa makucha wakati wa Uchaguzi na kutangaza matokeo.
..Sasa hivi Ccm na Cdm wanatumiana tu. Subirini 2024 na 2025 muone kitakachotokea.
..JK mnayemsema ni muungwana si ndio alipora uchaguzi wa Znz akimtumia Bwana Jecha.
..Na unasema Znz hawajazoea ukatili umesahau mauaji ya wakati wa Karume mkubwa?
econonist Kalamu brazaj