Rais Samia kuwa mgeni rasmi kongamano la BAWACHA siku ya wanawake duniani

Upo sahihi boss, hata maridhiano ya Ccm na CUF chini ya Maalim Seif (Rip) huko Zanzibar yalienda kwa mwendo huu huu, ila kilichotokea mwaka 2015 na baadae 2020 sote tulikiona.

econonist Kalamu brazaj
 
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa mgeni rasmi kwenye tukio la kina mama siku ya wanawake duniani, na hii ni habari njema sana kwa wanawake nchini Tanzania na duniani kote.

View attachment 2538073
=
Nimefuatilia comments nying humu zikiwaponda CDM na kulaumiwa wamelambishwa asal na mengine! But kipind cha nyuma haohao walikua wanailaum CDM kwa siasa zao chafu, mara hawana adabu, mara wanatukana, mara hawaitakii aman Nchi yetu. Sasa nna swali....Je mnataka CDM wafanye siasa kwa mtindo upi? Yaan hakuna jema kwenu!
 
Raisi SSH ana hekima sana
Hekima kaipata wapi wakati nchi inazidi kuzama na yeye ana nunua tu Magori ya simba na yanga na kujipanga kuudhulia Kongamano la CDM,Hekima ni kupanga na kupanga ni kuchagua....2025 atajikuta mwenyewe.
 
Hii ndo dini ya mnyazi mungu tunataka muslimu ili msije ikosa Pepo. Ukifa mkristo unaingia motoni mojakwamoja ndo mana Huwa tunataka msiende huko
Sasa unavyoshabikia Urusi unafikiri ni waislam wenzako wale?

Urusi na USA zote hizo ni Christian majority countries.... mnanichekeshaga mnavyo jisahaulisha.
 
Urusi siyo Christian community Bali ni wabudha.
Sasa unavyoshabikia Urusi unafikiri ni waislam wenzako wale?

Urusi na USA zote hizo ni Christian majority countries.... mnanichekeshaga mnavyo jisahaulisha.
W
 
Kikubwa ni kuirudisha amani na upendo kwa watanzania ndani ya nchi yetu
 
Kikubwa ni kuirudisha amani na upendo kwa watanzania ndani ya nchi yetu
Eti Eeeh! Bhwanaaah?

"... Kuirudisha amani na upendo kwa waTanzania..."!

Haya mambo mazuri hayawezi kurudi bila CHADEMA kujisalimisha kwa Samia na tawi lake la CCM?

Kwa hiyo ajenda pekee iliyokuwa ikipiganiwa na CHADEMA miaka yote hii ni hayo mawili tu basi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…