Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Wakuu Mama Amesema Hakuna Kupoa Wala Kutulia Chini.
.
Rais Samia Kesho Jumatano atafungua ujenzi wa Chuo cha Uongozi cha Julius Nyerere kilichopo Kibaha mkoani Pwani.
.
Viongozi mbalimbali wa chama tawala na Serikali wameshiriki Ufunguzi huo, wakiwemo viongozi mbalimbali wa vyama vya ANC (Afrika Kusini), Swapo (Namibia), MPLA ( Zimbabwe), Frelimo (Msumbiji) na ZANU-PF.
.
Ufunguzi huo pia unatarajia kushuhudiwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama cha Kikomunisti cha Watu wa China (CPC), Song Tao.
.
Akizungumza leo Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka amesema chuo hicho kitakuwa kikiwaandaa viongozi na kuwapika makada wa chama hicho na vyama vingine vilivyoshiriki harakati za ukombozi kusini mwa bara la Afrika.
.
Shaka amesema, Hiki ni chuo cha CCM chenye lengo la kuwanoa viongozi wa chama kama ilivyokuwa miaka ya nyuma kwa hiyo tunatarajia darasa la mwanzo kabisa kuanza 2022 kitakapokamilika, amesema.
.
Hakuna Kupoa, Hangaya Hataki utani Kabisa