Rais Samia kuwa mgeni rasmi mkutano wa Jumuiya ya Kiislamu Shia TMSC

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
28 September 2024

View: https://m.youtube.com/watch?v=Q_op3a827-s

Rais Samia mgeni rasmi mkutano wa Jumuiya ya Kiislamu Shia TMSC. Hayo yamebainishwa na makamu mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiislamu Shia TMSC sheikh Habibu Mbota.

Mkutano huo mkubwa wa kitaifa utahudhuriwa wajumbe zaidi ya 400 wa mikoa kutoka bara na visiwani kuboresha katiba ya Tanzania Shia Community kuelekea mkutano wake mkuu

Mmomonyoko wa maadili katika taifa letu utazungumzia mambo pamoja masuala mbalimbali yanayoendelea nchini kama amani kuekekea uchaguzi unaokuja November 2024. Pia changamoto ya utekaji na mauaji yanayoendelea nchini.
 
TOKA MAKTABA :​

31 December 2021​

KAZI NI KUTEKELEZA ILANI NA SIO KUWALINGANISHA VIONGOZI December​

1727576826191.png

Picha maktaba : Katibu wa Hamasa wa CCM mkoa wa Tanga Habibu Mbota (pichani)

Habibu Mbota amesema huu sio wakati muafaka wa kuwalinganisha viongozi aliyepo madarakani na ambae hayupo madarakani.

Mbota ameyasema hayo wakati akizungumza na wanachama na viongozi wa Chama cha mapinduzi katika wilaya ya Lushoto mkoani Tanga.

Habibu Mbota amesema kazi iliyopo ni kutekeleza ilani ya Chama cha Mapinduzi na hakuna jambo lingine lolote kwa sasa kuhakikisha nchi inakua na maendeleo.

"Tunayo azma moja ya utekelezaji wa ilani ya Chama cha Mapinduzi , hatuna azma ya kuanza kufanya tathmini ya aliyekuwa madarakani na asiyekuwa madarakani, huu sio wakati wake wakati wake ni aliyeondoka ni sisi na aliyepo ni sisi"alisema Mbota.

Ameongeza kuwa ni wajibu wa kila mjumbe kuhakikisha anatoa sapoti kwa Mh.Rais kuhakikisha nchi inasonga mbele.

"Ni wajibu wetu wa kila mwanachama kuhakikisha Mama yetu atimize malengo anahamu kubwa kuona Taifa linasonga mbele kutoka hapa tulipo"alisema Mbota.

Pia ameeleza kuwa Mohamed Salim Ratco kuwa ni mmoja wa kiongozi ambaye amekuwa karibu na wanachama na wananchi kwa ujumla,na kuwataka wazee wa Lushoto kuendelea kuwashauri viongozi wa Chama pamoja na wabunge ili kuendelea kuwa na hazina ya wanachama katika siku zijazo.
 
Raisi laiti ungejua itikadi za hao mashia usingejaribu ata kuwasogelea mashia ni watu waovu sanaa kwa undani wao lkn kwa nje wanaonekana ni wema

Kwanza Mashia hawamuamini Muhammad kama mtume wao na pia wanaipinga Quran na mengine mengi tu

Kinachoendelea kule lebanon na yemen wale ni mashia wa kihouthi ambao wanawaulisha wenzao na kuiharibu miji mashia ni watu wajinga sanaa
 
Mbona mimi ni mshia na nina mwamini Muhamad kama mtume.
 
TOKA MAKTABA :​

31 December 2021​

KAZI NI KUTEKELEZA ILANI NA SIO KUWALINGANISHA VIONGOZI December​

View attachment 3109896

Duuh! Umetisha sana mleta mada. Kumbe hiyo TMSC ni jukwaa tu litakalotumiwa na huyu Mbata kupenyeza ajenda za CCM
 
Raisi laiti ungejua itikadi za hao mashia usingejaribu ata kuwasogelea mashia ni watu waovu sanaa kwa undani wao lkn kwa nje wanaonekana ni wema

Kwanza Mashia hawamuamini Muhammad kama mtume wao na pia wanaipinga Quran na mengine mengi tu

Kinachoendelea kule lebanon na yemen wale ni mashia wa kihouthi ambao wanawaulisha wenzao na kuiharibu miji mashia ni watu wajinga sanaa
Ndiyo maana Israel inawatafuna haswa
 
TOKA MAKTABA :​

31 December 2021​

KAZI NI KUTEKELEZA ILANI NA SIO KUWALINGANISHA VIONGOZI December​

View attachment 3109896

Picha maktaba : Katibu wa Hamasa wa CCM mkoa wa Tanga Habibu Mbota (pichani)

Habibu Mbota amesema huu sio wakati muafaka wa kuwalinganisha viongozi aliyepo madarakani na ambae hayupo madarakani.

Mbota ameyasema hayo wakati akizungumza na wanachama na viongozi wa Chama cha mapinduzi katika wilaya ya Lushoto mkoani Tanga.

Habibu Mbota amesema kazi iliyopo ni kutekeleza ilani ya Chama cha Mapinduzi na hakuna jambo lingine lolote kwa sasa kuhakikisha nchi inakua na maendeleo.

"Tunayo azma moja ya utekelezaji wa ilani ya Chama cha Mapinduzi , hatuna azma ya kuanza kufanya tathmini ya aliyekuwa madarakani na asiyekuwa madarakani, huu sio wakati wake wakati wake ni aliyeondoka ni sisi na aliyepo ni sisi"alisema Mbota.

Ameongeza kuwa ni wajibu wa kila mjumbe kuhakikisha anatoa sapoti kwa Mh.Rais kuhakikisha nchi inasonga mbele.

"Ni wajibu wetu wa kila mwanachama kuhakikisha Mama yetu atimize malengo anahamu kubwa kuona Taifa linasonga mbele kutoka hapa tulipo"alisema Mbota.

Pia ameeleza kuwa Mohamed Salim Ratco kuwa ni mmoja wa kiongozi ambaye amekuwa karibu na wanachama na wananchi kwa ujumla,na kuwataka wazee wa Lushoto kuendelea kuwashauri viongozi wa Chama pamoja na wabunge ili kuendelea kuwa na hazina ya wanachama katika siku zijazo.
Huyu mbota na makoti mawili Koti la siasa na la dini hatari sana
 
Tanzania hadi leo inategemea wananchi wake wapate huduma ya maji safi salama ya visima kupitia marafiki zake wa nje kupitia kwa kada Habibu Mbota.

Sijawahi kusikia hali hii ya kitegemezi nchi zinazojitambua, huku viongozi wa serikali ya Tanzania wanatembelea na kwenda kukata utepe wa mradi wa maji uliofadhiliwa na wahisani kwa kutumia magari ya kifahari ya anasa V8.

Toka maktaba :​

POLISI KUSHIRIKIANA NA JAMII KUTOKOMEZA UHALIFU​

SASA_0.jpg

Jeshi la Polisi limesema litaendelea kushirikisha Jamii, katika kupambana na uhalifu katika maeneo mabalimbali hapa nchini, huku likipongeza wadau wenye mapanzi mema na Jeshi hilo kwa mashirikiano wanayoyaonyesha katika Mapambano dhidi ya uhalifu.

Hayo yamebainishwa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga na Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam (DPA) Kamishna Msaidizii Mwandamizi wa Polisi SACP Dkt. Lazaro Mambosasa, wakati alipotembelea viwanja vya mafunzo na mbinu za Medani za kivita eneo la Mkomazi Mkoani Tanga.

SACP Dkt. Mambosasa amewapongeza Islamic Help kwa mafano mazuri walioonyesha wakuchimba kisima katika viwanja hivyo vilivyopo eneo la Mkomazi ambapo amewaomba wananchi kuendelea kuiga mfano mzuri ulionyeshwa na islamic help.
WhatsApp%20Image%202023-08-10%20at%202.51.47%20PM%20%282%29.jpeg

WhatsApp%20Image%202023-08-10%20at%202.51.47%20PM%20%281%29.jpeg

WhatsApp%20Image%202023-08-10%20at%202.51.47%20PM.jpeg

Kwa upande wake Balozi wa Maji kutoka Tanga, Habibu Mbota amesema wanaendelea na uchimbaji wa kisima hicho ambacho tayari kimeonyesha dira ya upatikanaji wa maji hayo ambapo wamehadi siku chache zijazo watayafikia maji hayo ambayo yatatumiwa na askari wa kozi ya uofisa na mkaguzi msaidizi ambao ni zaidi ya elfu moja katika kambi hiyo ya mafunzo ya medani za kivita Mkomazi.

Nae Rashid Juma mkazi wa Mkomazi amelishukuru uwepo wa Jeshi la Polisi katika eneo la mkundi mbaro Mkomazi ambapo amesema kwa kuchimbwa kisima hicho kitakuwa msaada mkubwa kwao.

Kazi za kijamii za Islamic Help katika wilaya moja wapo nchini Tanzania

View: https://m.youtube.com/watch?v=CM9A8aJvgx0
 
Rais Samia mgeni rasmi mkutano wa Jumuiya ya Kiislamu Shia TMSC. Hayo yamebainishwa na makamu mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiislamu Shia TMSC sheikh Habibu Mbota.

10 November 2024
Dar es Salaam, Tanzania

WAZIRI MKUU AKIMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA HASSAN KONGAMANO LA JUMUIYA YA WAISLAMU WA SHIA TANZANIA

Waziri mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa akiwa mgeni rasmi kongamano la 4 la Tanzania 2024 Jumuiya ya Kiislamu Shia TMSC uliofanyika ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam

View: https://m.youtube.com/watch?v=UKwh05Ivt68

Waziri mkuu Kassim Majaliwa aishukuru Jumuiya ya Kiislamu Shia TMSC kwa kuwa mstari wa mbele kuwa na hospitali za kisasa, kuweka kambi za tiba ya macho na huduma zingine za kijamii kama uchimbaji visima vya maji safi, vitabu kwa ajili ya elimu za shule n.k
 
10 November 2024
Dar es Salaam, Tanzania

WAZIRI MKUU AKIMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA HASSAN KONGAMANO LA JUMUIYA YA WAISLAMU WA SHIA TANZANIA
1731294217195.jpeg

1731293457457.jpeg
 
10 November 2024
Dar es Salaam, Tanzania

WAZIRI MKUU AKIMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA HASSAN KONGAMANO LA JUMUIYA YA WAISLAMU WA SHIA TANZANIA

1731293744837.jpeg

1731294406279.jpeg

Picha: kongamano la 4 la Jumuiya ya Kiislamu ya Shia Tanzania (TMSC) lilofanyika jijini Dar es Salaam Tanzania
 
hamas na hizbollah karibuni tuyatinge humuu mazee

Ndugu zetu wa jumuiya hii ya Shia Tanzania kwa kupitia harambee zao wamejitoa sana kwa kuwa na hospitali za kisasa za huduma bora
 
Back
Top Bottom