Rais Samia kuwa mgeni rasmi mkutano wa Jumuiya ya Kiislamu Shia TMSC
10 November 2024
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Novemba 10, 2024 amemuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano Mkuu na Kongamano la Umuhimu wa Amani kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Kongamano hilo linaloratibiwa na Jumuiya ya Waislamu wa SHIA Tanzania, linafanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.
Picha: Waziri mkuu akiwasili katika ukumbu na kusalimiana na viongozi wa jumuiya ya waislamu wa Shia .