Pre GE2025 Rais Samia kuwa mgeni rasmi wa kwenye tuzo za Tanzania Comedy Awards

Pre GE2025 Rais Samia kuwa mgeni rasmi wa kwenye tuzo za Tanzania Comedy Awards

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
18,960
Reaction score
67,654
Wakuu,

Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika usiku wa Tuzo za Wasanii wa Vichekesho (Tanzania Comedy Awards) zitakazofanyika Februari 22, 2025 katika ukumbi wa The Super Dome, jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma amesema utaratibu wa kushiriki hafla ya tuzo hizo utatangazwa hivi karibuni.


IMG_5322.jpeg

 
Tasnia ya ucheshi inakuwa, vijana wanapata pesa, naona ni sawa.

Mama atafanya kuirasimisha.

Kwa wale wanaosema tasnia ni mbovu, waelewe kwamba bado ni changa, itapitia mageuzi...
 
Back
Top Bottom