Pre GE2025 Rais Samia kuwa mgeni rasmi wa kwenye tuzo za Tanzania Comedy Awards

Pre GE2025 Rais Samia kuwa mgeni rasmi wa kwenye tuzo za Tanzania Comedy Awards

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakuu,

Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika usiku wa Tuzo za Wasanii wa Vichekesho (Tanzania Comedy Awards) zitakazofanyika Februari 22, 2025 katika ukumbi wa The Super Dome, jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma amesema utaratibu wa kushiriki hafla ya tuzo hizo utatangazwa hivi karibuni.

Huyu mama anahangaika sana na atahangaika sana mwaka huu. Hii inaitwa Tundu Lissu effect.
 
Hakuna tofauti na Waziri anayekwenda airport kupokea maiti.

Anahudhuria kama Rais mtumishi wa Watanzania au kama mtu binafsi?
 
Wakuu,

Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika usiku wa Tuzo za Wasanii wa Vichekesho (Tanzania Comedy Awards) zitakazofanyika Februari 22, 2025 katika ukumbi wa The Super Dome, jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma amesema utaratibu wa kushiriki hafla ya tuzo hizo utatangazwa hivi karibuni.

Na yeye ashiriki kama kituko kinachochekesha
 
Wakuu,

Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika usiku wa Tuzo za Wasanii wa Vichekesho (Tanzania Comedy Awards) zitakazofanyika Februari 22, 2025 katika ukumbi wa The Super Dome, jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma amesema utaratibu wa kushiriki hafla ya tuzo hizo utatangazwa hivi karibuni.

Duh mama anakaba kote😂😂😂
 
Muanzilishi na muandaaji wa hizo tuzo ni Ommy Dimpoz. Ommy Dimpoz na Mwana-FA ni marafiki wa muda mrefu, wakishirikiana huo urafiki wao na wale waarabu wa Kariakoo na Masaki (Matajiri wa Nchi hii) hivyo bila shaka ni watu wanaowasiliana na kushirikiana kwenye mambo mengi. Mungu si Athumani kwenye hayo makundi yao wote ni watu wenye mafanikio.

Mheshimiwa nae anampenda huyu kijana na hata alishawahi kumuulizia kwenye hafla Fulani tena hadharani kabisa! “Omy yupo, dimpoz?!” Inaonesha ni kiasi gani yule kijana anakubalika na ana bahati ya kupendwa mpaka na kuuliziwa na wakubwa wa nchi. Huenda huwa wanawasiliana na majambo yake anayafikisha direct kwa Mama.

Wanasema kwenye maisha lilia bahati ndugu zangu. Nyie kausheni tu, ila sio jambo baya.

Kuwa kiongozi haimaanishi kwamba ukose hata muda wa refreshment na kujumuika kwenye hafla za kawaida.
Usanii usanii tu mko kama Kinshasa

Ova
 
Acha awape hamasa, maana hiyo nayo ni ajira kwa siku hizi.
Sisi tunagawana pesa ndani ya familia huku tukiamini hizo ndio ajira. Nenda Kwa jirani kavune pesa leta nyumbani.
Jamii ya China, wahindi watanielewa
 
Back
Top Bottom