Ahyan
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 2,310
- 5,482
Comedian ni sehemu ya JamiiMnamdharirisha huyu mama bila kujua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Comedian ni sehemu ya JamiiMnamdharirisha huyu mama bila kujua
Wasanii wanapokutana! Steve katika ubora wake!Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika usiku wa Tuzo za Wasanii wa Vichekesho (Tanzania Comedy Awards) zitakazofanyika Februari 22, 2025 katika ukumbi wa The Super Dome, jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma amesema utaratibu wa kushiriki hafla ya tuzo hizo utatangazwa hivi karibuni.View attachment 3239155
Hatukatai,Ila Kama taifa kuna mengi ya kuyashughulikia kama Rais ukiachana na hizi drama anafanya.Comedian ni sehemu ya Jamii
Hao Marekani unaowataja, kuna sherehe zao huwa wanawaalika wachekeshaji, tena ikuluNakubaliana na wewe,kuna kitu marekani wanakijua hawataki kutusanua.
Ishakuwa kama kongoHii nchi ishakua na mambo ya kinanii sana....☹️
Changamoto namba moja ni kuwapambania wasanii 😄Hao Marekani unaowataja, kuna sherehe zao huwa wanawaalika wachekeshaji, tena ikulu
Jaman mbona unatoa ushuhuda kabisaa, alikuonja jaman, hongeraa sana una bahati weyee, hadi nimekuonea wivuNasikia anakulaga pia mcheki unaweza kuwa mwenye bahati akuharibu kabisa
DaahWakuu,
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika usiku wa Tuzo za Wasanii wa Vichekesho (Tanzania Comedy Awards) zitakazofanyika Februari 22, 2025 katika ukumbi wa The Super Dome, jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma amesema utaratibu wa kushiriki hafla ya tuzo hizo utatangazwa hivi karibuni.
Ataenda mwenyewe, kwenye vitu ambavyo siyo serious huwa yup vzr snSidhani km atawasili hapo, naona atawakilishwa na wasaidizi wake.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Kama unaogonzwa na msanii unategema nini?Hii nchi ishakua na mambo ya kinanii sana....☹️
Wako sawa kabisa hawajakosea kwa sababu yeye mwenyewe ni kichekesho kwenye kuongoza wa-TanganyikaWakuu,
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika usiku wa Tuzo za Wasanii wa Vichekesho (Tanzania Comedy Awards) zitakazofanyika Februari 22, 2025 katika ukumbi wa The Super Dome, jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma amesema utaratibu wa kushiriki hafla ya tuzo hizo utatangazwa hivi karibuni.
Ahahahahaha! Wewe endelea kuumia tu. Mama Samia anachapa kazi na muda wa ku relax ana relax.Mnamdharirisha huyu mama bila kujua
Mbona hatariii.Ataenda mwenyewe, kwenye vitu ambavyo siyo serious huwa yup vzr sn
Ndiyo kiongozi wetuMbona hatariii.
Usije shangaa wakampa na tuzo ya comedy raisWakuu,
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika usiku wa Tuzo za Wasanii wa Vichekesho (Tanzania Comedy Awards) zitakazofanyika Februari 22, 2025 katika ukumbi wa The Super Dome, jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma amesema utaratibu wa kushiriki hafla ya tuzo hizo utatangazwa hivi karibuni.
Sishangai akihudhuria hata hafla ya vigodoroSidhani km atawasili hapo, naona atawakilishwa na wasaidizi wake.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app