Pre GE2025 Rais Samia kuwa mgeni rasmi wa kwenye tuzo za Tanzania Comedy Awards

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wasanii wanapokutana! Steve katika ubora wake!
Hakuna rais pale!
 
Hao Marekani unaowataja, kuna sherehe zao huwa wanawaalika wachekeshaji, tena ikulu
Changamoto namba moja ni kuwapambania wasanii 😄
Li nchi sahv kila mtu atakuwa msanii kama kongo

Ova
 
Nasikia anakulaga pia mcheki unaweza kuwa mwenye bahati akuharibu kabisa
Jaman mbona unatoa ushuhuda kabisaa, alikuonja jaman, hongeraa sana una bahati weyee, hadi nimekuonea wivu
 
Daah
 

Attachments

  • 3049818-bea797ab6cbc71c96b0e8f1726a165b5.mp4
    55.4 MB
Wako sawa kabisa hawajakosea kwa sababu yeye mwenyewe ni kichekesho kwenye kuongoza wa-Tanganyika
 
Usije shangaa wakampa na tuzo ya comedy rais
 
Muanzilishi na muandaaji wa hizo tuzo ni Ommy Dimpoz. Ommy Dimpoz na Mwana-FA ni marafiki wa muda mrefu, wakishirikiana huo urafiki wao na wale waarabu wa Kariakoo na Masaki (Matajiri wa Nchi hii) hivyo bila shaka ni watu wanaowasiliana na kushirikiana kwenye mambo mengi. Mungu si Athumani kwenye hayo makundi yao wote ni watu wenye mafanikio.

Mheshimiwa nae anampenda huyu kijana na hata alishawahi kumuulizia kwenye hafla Fulani tena hadharani kabisa! “Omy yupo, dimpoz?!” Inaonesha ni kiasi gani yule kijana anakubalika na ana bahati ya kupendwa mpaka na kuuliziwa na wakubwa wa nchi. Huenda huwa wanawasiliana na majambo yake anayafikisha direct kwa Mama.

Wanasema kwenye maisha lilia bahati ndugu zangu. Nyie kausheni tu, ila sio jambo baya.

Kuwa kiongozi haimaanishi kwamba ukose hata muda wa refreshment na kujumuika kwenye hafla za kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…