Huyu mama anahangaika sana na atahangaika sana mwaka huu. Hii inaitwa Tundu Lissu effect.Wakuu,
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika usiku wa Tuzo za Wasanii wa Vichekesho (Tanzania Comedy Awards) zitakazofanyika Februari 22, 2025 katika ukumbi wa The Super Dome, jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma amesema utaratibu wa kushiriki hafla ya tuzo hizo utatangazwa hivi karibuni.
Kwani ye hajielewi...kwamba anajiendea tu popote bila tafakuri...au ndio msimu wa kusaka kura umefika?!.Mnamdharirisha huyu mama bila kujua
Na yeye ashiriki kama kituko kinachochekeshaWakuu,
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika usiku wa Tuzo za Wasanii wa Vichekesho (Tanzania Comedy Awards) zitakazofanyika Februari 22, 2025 katika ukumbi wa The Super Dome, jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma amesema utaratibu wa kushiriki hafla ya tuzo hizo utatangazwa hivi karibuni.
Duh mama anakaba kote😂😂😂Wakuu,

Usanii usanii tu mko kama KinshasaMuanzilishi na muandaaji wa hizo tuzo ni Ommy Dimpoz. Ommy Dimpoz na Mwana-FA ni marafiki wa muda mrefu, wakishirikiana huo urafiki wao na wale waarabu wa Kariakoo na Masaki (Matajiri wa Nchi hii) hivyo bila shaka ni watu wanaowasiliana na kushirikiana kwenye mambo mengi. Mungu si Athumani kwenye hayo makundi yao wote ni watu wenye mafanikio.
Mheshimiwa nae anampenda huyu kijana na hata alishawahi kumuulizia kwenye hafla Fulani tena hadharani kabisa! “Omy yupo, dimpoz?!” Inaonesha ni kiasi gani yule kijana anakubalika na ana bahati ya kupendwa mpaka na kuuliziwa na wakubwa wa nchi. Huenda huwa wanawasiliana na majambo yake anayafikisha direct kwa Mama.
Wanasema kwenye maisha lilia bahati ndugu zangu. Nyie kausheni tu, ila sio jambo baya.
Kuwa kiongozi haimaanishi kwamba ukose hata muda wa refreshment na kujumuika kwenye hafla za kawaida.
Sisi tunagawana pesa ndani ya familia huku tukiamini hizo ndio ajira. Nenda Kwa jirani kavune pesa leta nyumbani.Acha awape hamasa, maana hiyo nayo ni ajira kwa siku hizi.
Ndio anayoyaweza hata yeye pia ni mchekeshaji.Mnamdharirisha huyu mama bila kujua