Pre GE2025 Rais Samia kuwalambisha nyongeza mishahara ya Ma DED na posho za madiwani

Pre GE2025 Rais Samia kuwalambisha nyongeza mishahara ya Ma DED na posho za madiwani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
Wakuu Rais Samia Suluhu Hassan alipokuwa kwenye mkutano mkuu wa 39 wa jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania ameeleza kuwa watashughulikiwa suala la mishahara ya wakurugenzi wa halmashauri na posho za madiwani.

"Tuachieni tufanyie kazi, wanasema mcheza kwao hutunzwa, sasa ngoja tukaangalie huo mfuko wa matunzo kama upo tutatunza kama haupo tutalambishana" - Rais Samia


Soma pia: Pre GE2025 Miradi kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mhandisi Kundo akagua mradi wa maji unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 Chalinze
 
Back
Top Bottom