Rais Samia kuyaaga mashindano kwenye kinyang'anyiro cha Urais? Kakosea na kumuita waziri Mh. Rais, apata kigugumizi

Mdomo unaumba
 
Mshana Jr tukio la rais kumpa mtu mwingine ( mtoto) akalie kiti chake katika ulimwengu wa roho ikoje?

Tunajua pia simba ni mtawala, je kitendo cha rais kumwita Lissu simba pia imekaa je?
 
Itakuwa alimuona JPM pembeni yake
 
Chawa mnapumua vizuri au tuwaletee mashine za oksijeni?
 
Rais Samia akakosea kumuita waziri na kumuita Mh. Rais wakati anahutubia baada ya kuweka jiwe la msingi katika uzinduzi wa mradi wa maji, Mkinga-Tanga.

Kilio cha familia, ndugu, jamaa, marafiki, chama kikuu cha upinzani juu ya kesi ya Ali Mohamed Kibao kiongozi mwandamizi
 
Tanganyika hakuna kiongozi magogoni, ni gauni limetundikwa huko,kutuongoza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…