Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Azungumze hayo maneno tukishamfurusha 2025!Samia Suluhu ambaye ni rais wa kurithi Tanzania baada ya kifo cha Rais Magufuli amesifu tamasha linalofanyika kijijini kwake kule Kizimkazi kwa kupongeza uwingi wa watu wanao hudhuria.
"....kwa sasa maboti yanavyojaa kutokea Bara kuja Kizimkazi hadi raha. Tudumishe tamasha hili."
rais Samia.