Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uharaka wa Rais wetu kuchanjwa chanjo ya UIVIKO 19 unatoka wapi? Je! Ni kutokana na masharti ya mkopo wa World Bank? Je! Ni kutokana na masharti ya mabeberu ili aonekane yupo kinyume na misimamo ya mwendazake? Je! Yeye naye ni sehemu muhimu ya kutekeleza mipango ya NWO? Je! Anafanya hivyo kwa msukumo binafsi wa kutaka kupata umaarufu mbele ya jumuiya ya kimataifa pasipo kujali athari za kiafya juu ya maamuzi yake katika siku zijazo?Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Chanjo ya COVID19 Ikulu Dar, Saa tatu asubuhi Julai 28, 2021
Tanzania ilijiunga na Mpango wa COVAX Juni 15, 2021 na imepokea shehena ya Chanjo Julai 24, 2021
Wizara ya Afya imesema Chanjo ni nyongeza ya njia za kupambana na Corona. Njia nyingine ni kunawa mikono, kuvaa barakoa na njia za asili
View attachment 1869425View attachment 1869426
Chanjo gani atakayo chanjwa?View attachment 1869433
Rais Samia Suluhu Hassan Julai 28, 2021 atazindua zoezi la utoaji chanjo, uzinduzi utakaofanyika Ikulu Dar es Salaam kwa yeye kuchanjwa. Baada ya hapo wizara ya afya itaendelea na usambazaji wa chanjo & kutoa utaratibu wa uchanjwaji wananchi katika vituo vilivyoandaliwa.
Kapige nyungu huko na matunguri.Ntakuwepo kuwashika matakle bavicha ili chanjo ipenye vizuri
Uzinduzi utatumika kujibu mengi na pengine tutapashwa mpaka tupashikeRais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Chanjo ya COVID19 Ikulu Dar, Saa tatu asubuhi Julai 28, 2021
Tanzania ilijiunga na Mpango wa COVAX Juni 15, 2021 na imepokea shehena ya Chanjo Julai 24, 2021
Wizara ya Afya imesema Chanjo ni nyongeza ya njia za kupambana na Corona. Njia nyingine ni kunawa mikono, kuvaa barakoa na njia za asili
View attachment 1869425View attachment 1869426
Nenda ikulu jumatano saa 3 asubuhi ukaangalie kama ndio yenyeweNitaaminije chanjo atakayochanjwa Samia ndio tutakayochanjwa sisi?
Hivi mna nini watanzania? Wewe kuna mtu amekushikia panga uchanje kwa nguvu? Kwanini isiachwe kwa anayetaka sawa na asiyetaka sawa?Uharaka wa Rais wetu kuchanjwa chanjo ya UIVIKO 19 unatoka wapi? Je! Ni kutokana na masharti ya mkopo wa World Bank? Je! Ni kutokana na masharti ya mabeberu ili aonekane yupo kinyume na misimamo ya mwendazake? Je! Yeye naye ni sehemu muhimu ya kutekeleza mipango ya NWO? Je! Anafanya hivyo kwa msukumo binafsi wa kutaka kupata umaarufu mbele ya jumuiya ya kimataifa pasipo kujali athari za kiafya juu ya maamuzi yake katika siku zijazo?
Mimi bado nipo upande wa wale wanaotaka tujipe kwanza " benefit of doubt" kabla ya kuanza matumizi rasmi ya chanjo hizi. Kwa maana ktk hali ya kawaida tu huwezi kuamua kukimbilia chanjo ambazo matumizi yake yamekataliwa nchini USA na Canada, halafu leo eti zinaletwa na USA hiyo hiyo kama msaada kwa nchi yetu.
Ndio ku sakrifaisi maisha yake kwa ajili ya watanzaniaUharaka wa Rais wetu kuchanjwa chanjo ya UIVIKO 19 unatoka wapi? Je! Ni kutokana na masharti ya mkopo wa World Bank? Je! Ni kutokana na masharti ya mabeberu ili aonekane yupo kinyume na misimamo ya mwendazake? Je! Yeye naye ni sehemu muhimu ya kutekeleza mipango ya NWO? Je! Anafanya hivyo kwa msukumo binafsi wa kutaka kupata umaarufu mbele ya jumuiya ya kimataifa pasipo kujali athari za kiafya juu ya maamuzi yake katika siku zijazo?