#COVID19 Rais Samia kuzindua na kupata Chanjo ya COVID-19 Julai 28, 2021

#COVID19 Rais Samia kuzindua na kupata Chanjo ya COVID-19 Julai 28, 2021

Chanjo zimezuiliwa USA na Canada? Hivi nyie watu ni nani aliyewaroga?
Canada waliikataa hiyo j&j, na USA wameisitisha tangu Tuesday, naona wamarekani ndo wakaamua waitupe kwetu kwa majaribio zaidi:
 
Kuna mdau anasema baada ya kuchoma alimtyomba wife wake masaa matatu mfululizo,yaani dozi inaongeza nguvu za kiume,mshipa kusimama na kupumua vizuri.
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Chanjo ya COVID19 Ikulu Dar, Saa tatu asubuhi Julai 28, 2021

Tanzania ilijiunga na Mpango wa COVAX Juni 15, 2021 na imepokea shehena ya Chanjo Julai 24, 2021

Wizara ya Afya imesema Chanjo ni nyongeza ya njia za kupambana na Corona. Njia nyingine ni kunawa mikono, kuvaa barakoa na njia za asili

View attachment 1869425View attachment 1869426
Kwisha kwisha mama habari yako.

She will follow the same way as her predecessor
 
Utasikia tunamwimbia na yeye Umelala yoo [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Imefanyiwa utafiti nchini na chombo gani cha nchi yetu ili tuamini kuwa ni salama?
Hahaha!!!
Mzigo milioni 1 plus umefika, halafu bado mnaaminishwa kutakuwa na utafiti?

Yaani USA atoe bundle lote lile ili liingie maabara?

Ule mzigo ni straight kuingia kwenye damu za watu kama ulivyo, sahau habari za sijui utafiti n.k
 
View attachment 1869433
Rais Samia Suluhu Hassan Julai 28, 2021 atazindua zoezi la utoaji chanjo, uzinduzi utakaofanyika Ikulu Dar es Salaam kwa yeye kuchanjwa. Baada ya hapo wizara ya afya itaendelea na usambazaji wa chanjo & kutoa utaratibu wa uchanjwaji wananchi katika vituo vilivyoandaliwa.
Anachanjwa yenyewe au ya magumashi kutuzaga tujae kwenye 18 mabeberu watutoe kafara afu aendelee kula maisha na mabeberu
 
Back
Top Bottom