UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Canada waliikataa hiyo j&j, na USA wameisitisha tangu Tuesday, naona wamarekani ndo wakaamua waitupe kwetu kwa majaribio zaidi:Chanjo zimezuiliwa USA na Canada? Hivi nyie watu ni nani aliyewaroga?
Ukiwaambia waTZ hivyo,mbona tutarundikana kwenye hospitali😂😂Kuna mdau anasema baada ya kuchoma alimtyomba wife wake masaa matatu mfululizo,yaani dozi inaongeza nguvu za kiume,mshipa kusimama na kupumua vizuri.
Kwisha kwisha mama habari yako.Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Chanjo ya COVID19 Ikulu Dar, Saa tatu asubuhi Julai 28, 2021
Tanzania ilijiunga na Mpango wa COVAX Juni 15, 2021 na imepokea shehena ya Chanjo Julai 24, 2021
Wizara ya Afya imesema Chanjo ni nyongeza ya njia za kupambana na Corona. Njia nyingine ni kunawa mikono, kuvaa barakoa na njia za asili
View attachment 1869425View attachment 1869426
Mr. Amfifiro kashachanjwa kitambo anawachora tu hao waumini.Upangwe utaratibu na sie tuchanje. Wakina Gwajima wabaki na fikra za mwendazake
Acha uongo wewe. Marekani watu wanaendelea kuchoma dailyCanada waliikataa hiyo j&j, na USA wameisitisha tangu Tuesday, naona wamarekani ndo wakaamua waitupe kwetu kwa majaribio zaidi:
Johnson & Johnson Vaccinations Paused After Rare Clotting Cases Emerge (Published 2021)
Federal health officials called for a halt in the use of the company’s coronavirus vaccine while they study serious illnesses that developed in six American women.www.nytimes.com
Mwongo ni mimi au New York Times? Huioni hoyo link?Acha uongo wewe. Marekani watu wanaendelea kuchoma daily
Kea hiyo unahisi watamdunga glucose 😂😂Nitaaminije chanjo atakayochanjwa Samia ndio tutakayochanjwa sisi?
Hahaha!!!Imefanyiwa utafiti nchini na chombo gani cha nchi yetu ili tuamini kuwa ni salama?
Mwongo ni weweMwongo ni mimi au New York Times? Huioni hoyo link?
Rais mbumbavu toka tupate uhuru
Aende akakatwe Togo pesa huko
Anachanjwa yenyewe au ya magumashi kutuzaga tujae kwenye 18 mabeberu watutoe kafara afu aendelee kula maisha na mabeberuView attachment 1869433
Rais Samia Suluhu Hassan Julai 28, 2021 atazindua zoezi la utoaji chanjo, uzinduzi utakaofanyika Ikulu Dar es Salaam kwa yeye kuchanjwa. Baada ya hapo wizara ya afya itaendelea na usambazaji wa chanjo & kutoa utaratibu wa uchanjwaji wananchi katika vituo vilivyoandaliwa.
Atuwakilishe achanjwe yeye kwa niaba yetuAkichanjwa yeye kama rais wa nchi inatosha,.