Rais Samia: Kwa kifua kile cha Harmo kweli yeye ni Tembo

Rais Samia: Kwa kifua kile cha Harmo kweli yeye ni Tembo

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
"Nimemuona pia Konde Boy Tembo hapa (kwenye orodha ya Wasanii waliotoa burudani) na kwa kifua kile cha Harmo kweli yeye ni Tembo, Kwa vikundi vyote vingine vilivyopanda hapa jukwaani kwa Burudani tunawashukuru kwa ujumbe kuhusu upunguzaji wa ajali za Barabarani" ——— Rais Samia leo wakati akishiriki Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani Kitaifa, Arusha



harmonize-pic-data.jpg
 
Back
Top Bottom