Rais Samia, kwa sasa anayekuharibia ni January, mfukuze watu wapone!

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Kwa nyendo zako za sasa yaani unapiga mulemule na hongera sana!

Tatizo ni huyo January Waziri wa nishati anakuharibia kwa wananchi.Muda wote Tanesco wanakata umeme na hilo ni tatizo la Nchi nzima.

Mfute kazi huyo mtu ili uwe upande wa wananchi.
 
umeme ni kuwaka na kuzima vitu vinaharibika,hatuna raha tumejaa hofu mtu unawaza ukiwasha TV yako ya 8 M ikapigwa shoti ikaungua utafanyaje then unaamua kutokuiwasha 😎 MAISHA YA MASHAKA...WHY THIS ???????

TUNAACHAJE KUMKUMBUKA RAIS MAGUFULI.
 
Acheni unafiki...umeme umeanza kukatika toka mwaka jana Magu akiwepo, na mimi ni mmojawapo niliandika thread humu ya kulalamikia mgao wa umeme. Iwaje Leo iwe mi ishu ya Makamba?
 
umeme ni kuwaka na kuzima vitu vinaharibika,hatuna raha tumejaa hofu mtu unawaza ukiwasha TV yako ya 8 M ikapigwa shoti ikaungua utafanyaje then unaamua kutokuiwasha 😎 MAISHA YA MASHAKA...WHY THIS ???????

TUNAACHAJE KUMKUMBUKA RAIS MAGUFULI.
Wewe humpendi tu Makamba. Mengine ni blabla.
 
Kwa nyendo zako za sasa yaani unapiga mulemule na hongera sana!

Tatizo ni huyo January Waziri wa nishati anakuharibia kwa wananchi.Muda wote Tanesco wanakata umeme na hilo ni tatizo la Nchi nzima.

Mfute kazi huyo mtu ili uwe upande wa wananchi.
January Makamba hamuharibii Mama bali anajiharibia mwenyewe. Si huwa anafikiria kuwania Urais wa JMT? Ngoja tuone kama ataupata!
 
D
Kwa nyendo zako za sasa yaani unapiga mulemule na hongera sana!

Tatizo ni huyo January Waziri wa nishati anakuharibia kwa wananchi.Muda wote Tanesco wanakata umeme na hilo ni tatizo la Nchi nzima.

Mfute kazi huyo mtu ili uwe upande wa wananchi.
Dah kwa nn usimshauri aanze na yule wa tozo?
 
Back
Top Bottom