Rais Samia, kwa sasa anayekuharibia ni January, mfukuze watu wapone!

umeme ni kuwaka na kuzima vitu vinaharibika,hatuna raha tumejaa hofu mtu unawaza ukiwasha TV yako ya 8 M ikapigwa shoti ikaungua utafanyaje then unaamua kutokuiwasha 😎 MAISHA YA MASHAKA...WHY THIS ???????

TUNAACHAJE KUMKUMBUKA RAIS MAGUFULI.
Nunua stabilizer
 
Acha kumuonea January umeme nchi hii ni tatizo awamu zote
 
Na siku izi tanesco wameanzisha system yakukata usiku wa manane wanarudisha saa10 usiku
 
Ushajibiwa huko na Samia haupo mradi utasimama wala kusitishwa kwa wenye roho mbaya mnywe sumu
Unategemea atoe kauli gani mama wa watu? Ndugai unamsikia kishaanza kulia na kudoda kwa Dodoma yake?

Kipande cha SGR cha Dar -Moro kishafunguliwa? Ahadi ilikuwa kifunguliwe August. 2020, mpk kesho bado.

Busisi daraja lisilo na tija ndiyo sahau kabisa. Na sababu ziko wazi kabisa,...serikali haina hela. Jiwe alifuja Sana fedha.
 
Kwa nyendo zako za sasa yaani unapiga mulemule na hongera sana!

Tatizo ni huyo January Waziri wa nishati anakuharibia kwa wananchi.Muda wote Tanesco wanakata umeme na hilo ni tatizo la Nchi nzima.

Mfute kazi huyo mtu ili uwe upande wa wananchi.
January ni Waziri wa Nishati, siyo fundi wa Tanesco
 
Kwa nyendo zako za sasa yaani unapiga mulemule na hongera sana!

Tatizo ni huyo January Waziri wa nishati anakuharibia kwa wananchi.Muda wote Tanesco wanakata umeme na hilo ni tatizo la Nchi nzima.

Mfute kazi huyo mtu ili uwe upande wa wananchi.
Mwisho wa siku naye atajifukuza
 
Kwa nyendo zako za sasa yaani unapiga mulemule na hongera sana!

Tatizo ni huyo January Waziri wa nishati anakuharibia kwa wananchi.Muda wote Tanesco wanakata umeme na hilo ni tatizo la Nchi nzima.

Mfute kazi huyo mtu ili uwe upande wa wananchi.
Halafu amrudishe msukuma mwenzenu Karimane, kenge nyinyi,

Samia anapiga chini mabaki yote Ya dikteta kichaa, maana ndio hao wanamuhujumu
 
umeme ni kuwaka na kuzima vitu vinaharibika,hatuna raha tumejaa hofu mtu unawaza ukiwasha TV yako ya 8 M ikapigwa shoti ikaungua utafanyaje then unaamua kutokuiwasha 😎 MAISHA YA MASHAKA...WHY THIS ???????

TUNAACHAJE KUMKUMBUKA RAIS MAGUFULI.
Kufa umfuate huyo dikteta
 
January yupo kwenye hiyo wizara Untill 2030! Ni kati ya watu wachache wenye akili waliobakia chamani na serikalini! Hayo majungu yenu yataishia mitandaoni humu, and uzuri Rais anamfahamu vizuri January kwani alifanya naye kazi kwa ukaribu walipokuwa wote Muungano! Kutolewa kwa Kalemani S Gang imewauma kwelikweli! Mjue sasa jinsi gani inakera pale mtu mnayemchukia nyinyi lakini anaaminiwa na Rais, Karma, kama vile mlivyokuwa mnawatukana watu waliokuwa wanapiga kelele Bashite na Sabaya watolewe, na nyinyi mlinywe la January! Bora ya huyu, Yule mwingine alikuwa akitoka kusoma JF mashinikizo ya kumtoa Bashite kesho yake alikuwa anakurupuka na kusema HAPANGIWI! Msimpangie na Samia basi Urais wake hauna ubia na mtu
 
Kwa nyendo zako za sasa yaani unapiga mulemule na hongera sana!

Tatizo ni huyo January Waziri wa nishati anakuharibia kwa wananchi.Muda wote Tanesco wanakata umeme na hilo ni tatizo la Nchi nzima.

Mfute kazi huyo mtu ili uwe upande wa wananchi.
Mulemule kwenye legacy?! Rais SSH atakuwa hajafanya maamuzi sahihi kama anacheza ngoma ya mwendazake na akina Bashite.
 
Back
Top Bottom