Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Yeye yupo kwenye siasa pekeeHivi Makamba ni mbobezi katika masuala gani?maana unakatika kweli kweli!!
Kweli tupu?Atafanyaje Bi Mkubwa wakati alisogezewa note inasema: ^Wale vijana wetu wawili lazima nao wawemo^?
Acheni unafiki...umeme umeanza kukatika toka mwaka jana Magu akiwepo, na mimi ni mmojawapo niliandika thread humu ya kulalamikia mgao wa umeme. Iwaje Leo iwe mi ishu ya Makamba?Kwa nyendo zako za sasa yaani unapiga mulemule na hongera sana!
Tatizo ni huyo January Waziri wa nishati anakuharibia kwa wananchi.Muda wote Tanesco wanakata umeme na hilo ni tatizo la Nchi nzima.
Mfute kazi huyo mtu ili uwe upande wa wananchi.
Wewe humpendi tu Makamba. Mengine ni blabla.umeme ni kuwaka na kuzima vitu vinaharibika,hatuna raha tumejaa hofu mtu unawaza ukiwasha TV yako ya 8 M ikapigwa shoti ikaungua utafanyaje then unaamua kutokuiwasha 😎 MAISHA YA MASHAKA...WHY THIS ???????
TUNAACHAJE KUMKUMBUKA RAIS MAGUFULI.
Wewe una chuki na Makamba, mengine ni blabla.Kila wananchi wakitaka kumwelewa Samia makamba anawarudisha nyuma ,mama weka pembeni huyo makamba anakutibulia move!!!!!
Wewe humpendi Makamba. Mengine ni blabla tu.Atafanyaje Bi Mkubwa wakati alisogezewa note inasema: ^Wale vijana wetu wawili lazima nao wawemo^?
Ililaaniwa na ^Lo-war-sir,^ siyo?TANESCO hata uwekwe wewe hakuna namna
Kuiba mitihani,kuiba kura, ufisadi.Hivi Makamba ni mbobezi katika masuala gani?maana unakatika kweli kweli!!
January Makamba hamuharibii Mama bali anajiharibia mwenyewe. Si huwa anafikiria kuwania Urais wa JMT? Ngoja tuone kama ataupata!Kwa nyendo zako za sasa yaani unapiga mulemule na hongera sana!
Tatizo ni huyo January Waziri wa nishati anakuharibia kwa wananchi.Muda wote Tanesco wanakata umeme na hilo ni tatizo la Nchi nzima.
Mfute kazi huyo mtu ili uwe upande wa wananchi.
Dah kwa nn usimshauri aanze na yule wa tozo?Kwa nyendo zako za sasa yaani unapiga mulemule na hongera sana!
Tatizo ni huyo January Waziri wa nishati anakuharibia kwa wananchi.Muda wote Tanesco wanakata umeme na hilo ni tatizo la Nchi nzima.
Mfute kazi huyo mtu ili uwe upande wa wananchi.