Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Huko Korogwe mkoani Tanga, Rais Samia akiwa anazungumza na wananchi amegusia na maslahi ya walimu ambapo alisema kuwa anaelewa vizuri changamoto za walimu kwa sababu pia baba yake alikuwa ni mwalimu
"Mi mwenzenu walimu nawapenda sana. Na ninawapenda kwa sababu wanasaidia kuelimisha umma wetu. Wanatusaidia kuelimisha umma wa watanzania. Walimu wana kazi nzito sana. Walimu asanteni sana"
Na kwa wale wasiojua mimi pia baba yangu ni mwalimu, kwa hiyo nayajua mazito ya walimu"