ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kama walimu wenzao hawakutatua shida za wenzao Samia analaumiwa Kwa lipi?Hata muasisi wa Taifa hili alikuwa Mwalimu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama walimu wenzao hawakutatua shida za wenzao Samia analaumiwa Kwa lipi?Hata muasisi wa Taifa hili alikuwa Mwalimu.
Wale wanaojua kuhusu shida waliximaliza?Hamna kitu samia anajua kuhusu shida.
Miongoni mwa uliowataja nasikia ndo babake mzazi🤣🤣🤣Ndg
Ndg walimu ndio wameongoza na wanaendelea kuongoza hii nchi, Baba wa Taifa, mzee Mwinyi, Magufuli, Majaliwa, Mpango(lecturer), n.k
Hayo ni maneno tu.
Mwendazake alikuwa mwalimu.
Kuna kipi cha maana alichowafanyia walimu?
Zaidi amefanya wamejaa mitaani mpaka wameanzisha umoja wao wa NETO.
Wakuu,
Huko Korogwe mkoani Tanga, Rais Samia akiwa anazungumza na wananchi amegusia na maslahi ya walimu ambapo alisema kuwa anaelewa vizuri changamoto za walimu kwa sababu pia baba yake alikuwa ni mwalimu
"Mi mwenzenu walimu nawapenda sana. Na ninawapenda kwa sababu wanasaidia kuelimisha umma wetu. Wanatusaidia kuelimisha umma wa watanzania. Walimu wana kazi nzito sana. Walimu asanteni sana"
Na kwa wale wasiojua mimi pia baba yangu ni mwalimu, kwa hiyo nayajua mazito ya walimu"
Ngoja ngoja,unataka kusemaje?Ali Hassan Mwinyi pia alikuwa Mwalimu
Kwamba mtoto wa mwalimuWakuu,
Huko Korogwe mkoani Tanga, Rais Samia akiwa anazungumza na wananchi amegusia na maslahi ya walimu ambapo alisema kuwa anaelewa vizuri changamoto za walimu kwa sababu pia baba yake alikuwa ni mwalimu
"Mi mwenzenu walimu nawapenda sana. Na ninawapenda kwa sababu wanasaidia kuelimisha umma wetu. Wanatusaidia kuelimisha umma wa watanzania. Walimu wana kazi nzito sana. Walimu asanteni sana"
Na kwa wale wasiojua mimi pia baba yangu ni mwalimu, kwa hiyo nayajua mazito ya walimu"
Tumefikaje hapa? Kila akifungua mdomo utadhani tuko jikoni. Bila kuwa na rais mwenye vision nchi itaendelea kuzota.Wakuu,
Huko Korogwe mkoani Tanga, Rais Samia akiwa anazungumza na wananchi amegusia na maslahi ya walimu ambapo alisema kuwa anaelewa vizuri changamoto za walimu kwa sababu pia baba yake alikuwa ni mwalimu
"Mi mwenzenu walimu nawapenda sana. Na ninawapenda kwa sababu wanasaidia kuelimisha umma wetu. Wanatusaidia kuelimisha umma wa watanzania. Walimu wana kazi nzito sana. Walimu asanteni sana"
Na kwa wale wasiojua mimi pia baba yangu ni mwalimu, kwa hiyo nayajua mazito ya walimu"
Ndio Serikali yako inachokitaka hiki ifunge vyuo vyote basi hawa waliopo wapewe ajira kwanzakwa kutia huruma
Watu tunataka ajira tumesomea ualimu ajira hatujapata,tuko mitaani tukijua kuwa mzee wetu alikuwa mwalimu haitupi pesa ya kununulia chumvi.
Asante sana kwa dharau.Wote wasio na kazi kwa kuwa wewe umependelewa na mfumo huu ovu kabisa kupata kazi, unawaona wajinga.Sawa,watoto wa wakulima wajinga,ila hili ni bomu ambalo hatimaye litawalipukia,NETO ni wawingu.WaTz wapuuzi sana yaani kujiita masikini mnajivunia kabisa. Ndiyo maana mnashindwa kutumia akili, mtu na akili zako umemaliza chuo unalala kitandan kwa mume wa dada yako unalalamika ajira hakuna...?!?🤣💩 Mkiambiwa ukweli mna nuna na mashavu yamewatuna.
Mtaunda hadi umoja wa jobless na mtaishia kutumika tu kama toilet papers... Vijana tumieni akili sio makalio
Kwa hiyo hana hata ka-diploma?Duh!Suluhu was born in the Sultanate of Zanzibar on 27 January 1960 to a teacher and his wife. Four years later, Zanzibar unified with Tanganyika to form the nation of Tanzania.[1] She completed her secondary education in 1977,[2] and she began working as an office clerk.[1] She married agriculturalist Hafidh Ameir the following year. Together they had three sons and one daughter.[
Baba Yuko Oman!Wakuu,
Huko Korogwe mkoani Tanga, Rais Samia akiwa anazungumza na wananchi amegusia na maslahi ya walimu ambapo alisema kuwa anaelewa vizuri changamoto za walimu kwa sababu pia baba yake alikuwa ni mwalimu
"Mi mwenzenu walimu nawapenda sana. Na ninawapenda kwa sababu wanasaidia kuelimisha umma wetu. Wanatusaidia kuelimisha umma wa watanzania. Walimu wana kazi nzito sana. Walimu asanteni sana"
Na kwa wale wasiojua mimi pia baba yangu ni mwalimu, kwa hiyo nayajua mazito ya walimu"
Nimesema hamna kitu samia anajua kuhusu shida. Hiyo habari ya kuzimaliza utajua wewe huko na machawa wenzako. Halafu acha kuweka X badala ya Z. Inafanya uoneoane bado litoto. Japo hata hivyo sijui kama umekomaa.Wale wanaojua kuhusu shida waliximaliza?