Pre GE2025 Rais Samia: Kwa wale wasiojua, baba yangu alikuwa mwalimu, kwa hiyo nayajua mazito ya walimu!

Pre GE2025 Rais Samia: Kwa wale wasiojua, baba yangu alikuwa mwalimu, kwa hiyo nayajua mazito ya walimu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakuu,

Huko Korogwe mkoani Tanga, Rais Samia akiwa anazungumza na wananchi amegusia na maslahi ya walimu ambapo alisema kuwa anaelewa vizuri changamoto za walimu kwa sababu pia baba yake alikuwa ni mwalimu

"Mi mwenzenu walimu nawapenda sana. Na ninawapenda kwa sababu wanasaidia kuelimisha umma wetu. Wanatusaidia kuelimisha umma wa watanzania. Walimu wana kazi nzito sana. Walimu asanteni sana"
Na kwa wale wasiojua mimi pia baba yangu ni mwalimu, kwa hiyo nayajua mazito ya walimu"

Halafu ukaendelea kudhulumu haki ya ajira ya waalimu? Na kuteka waliokoseshwa ajira kwa upendeleo? NOOOOOOOOOOO!! sikukubali hata chembe! huna shukrani hata kwa huyo mzazio!
 
Ni yule anayetembea na bastola kiunoni na walinzi wengi? Kama ni huyo basi hamna kitu. Alikuwa mwingine akiitwa Sajenti Samuel Doe. Naye alivuma kama huyu, Afrika nzima vijana wakawa wanamsifia lakini alikuja kugeuka kuwa muuaji mkubwa.
Si kweli,Samuel Doe alikuwa exactly kama Traore na hata siku moja hakuwahi kugeuka wananchi wake.Infact aliuwawa na mabeberu kwa commitment yake kwa wananchi wake na kulinda rasilimali za nchi yake. Anyway kwa nini mnajijengea maukuta ya concrete mbele yenu.Why don't we seek for the best.,because we can have the best You seem to prefer leaders who are not honest.No we have to change our mindset na tutake the best of leaders.
 
Nakumbia mimi kiongozi simwangalii mara mbili mbili ili kujua ni wa aina gani. Huyu jamaa tangu nione anavyotembea na bastola kiunoni kila sehemu halafu na walinzi-wapambe wenye mikogo ya kilimbukeni nilijua kichwani hamna kitu. Kumbuka haya maneno na kuna siku utajua namaanisha nini.
 
Hayo ni maneno tu.

Mwendazake alikuwa mwalimu.

Kuna kipi cha maana alichowafanyia walimu?

Zaidi amefanya wamejaa mitaani mpaka wameanzisha umoja wao wa NETO.
Na mwenyekiti wa NETO naye kawekewa mdhamana🤣🤣🤣
 
Nakumbia mimi kiongozi simwangalii mara mbili mbili ili kujua ni wa aina gani. Huyu jamaa tangu nione anavyotembea na bastola kiunoni kila sehemu halafu na walinzi-wapambe wenye mikogo ya kilimbukeni nilijua kichwani hamna kitu. Kumbuka haya maneno na kuna siku utajua namaanisha nini.
Aisee mawazo yako ya ajabu sana.Nataka tu nikukumbushe kuwa Traore ni adui wa nchi za magharibi kwa jinsi anavyowapenda wananchi wake na jinsi anavyolinda rasilimali za nchi yake.So kuwa na ulinzi imara ni lazima.So unataka awe na ulinzi legelege wamuue kama JPM? Surely no.To me he is justified kuwa na ulinzi imara.Ninyi watu kwa kuwa ni mafisadi mnataka viongozi lege lege ili mfanikishe ufisadi wenu God willing eventually tutapata kiongozi imara kama Magufuli au hata zaidi.
 
Back
Top Bottom