Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
NyamazaNdio Serikali yako inachokitaka hiki ifunge vyuo vyote basi hawa waliopo wapewe ajira kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NyamazaNdio Serikali yako inachokitaka hiki ifunge vyuo vyote basi hawa waliopo wapewe ajira kwanza
Halafu ukaendelea kudhulumu haki ya ajira ya waalimu? Na kuteka waliokoseshwa ajira kwa upendeleo? NOOOOOOOOOOO!! sikukubali hata chembe! huna shukrani hata kwa huyo mzazio!Wakuu,
Huko Korogwe mkoani Tanga, Rais Samia akiwa anazungumza na wananchi amegusia na maslahi ya walimu ambapo alisema kuwa anaelewa vizuri changamoto za walimu kwa sababu pia baba yake alikuwa ni mwalimu
"Mi mwenzenu walimu nawapenda sana. Na ninawapenda kwa sababu wanasaidia kuelimisha umma wetu. Wanatusaidia kuelimisha umma wa watanzania. Walimu wana kazi nzito sana. Walimu asanteni sana"
Na kwa wale wasiojua mimi pia baba yangu ni mwalimu, kwa hiyo nayajua mazito ya walimu"
Tunataka viongozi wenye vision kama hawa👉Tumefikaje hapa? Kila akifungua mdomo utadhani tuko jikoni. Bila kuwa na rais mwenye vision nchi itaendelea kuzota.
Si kweli,Samuel Doe alikuwa exactly kama Traore na hata siku moja hakuwahi kugeuka wananchi wake.Infact aliuwawa na mabeberu kwa commitment yake kwa wananchi wake na kulinda rasilimali za nchi yake. Anyway kwa nini mnajijengea maukuta ya concrete mbele yenu.Why don't we seek for the best.,because we can have the best You seem to prefer leaders who are not honest.No we have to change our mindset na tutake the best of leaders.Ni yule anayetembea na bastola kiunoni na walinzi wengi? Kama ni huyo basi hamna kitu. Alikuwa mwingine akiitwa Sajenti Samuel Doe. Naye alivuma kama huyu, Afrika nzima vijana wakawa wanamsifia lakini alikuja kugeuka kuwa muuaji mkubwa.
Nakumbia mimi kiongozi simwangalii mara mbili mbili ili kujua ni wa aina gani. Huyu jamaa tangu nione anavyotembea na bastola kiunoni kila sehemu halafu na walinzi-wapambe wenye mikogo ya kilimbukeni nilijua kichwani hamna kitu. Kumbuka haya maneno na kuna siku utajua namaanisha nini.Si kweli,Samuel Doe alikuwa exactly kama Traore na hata siku moja hakuwahi kugeuka wananchi wake.Infact aliuwawa na mabeberu kwa commitment yake kwa wananchi wake na kulinda rasilimali za nchi yake. Anyway kwa nini mnajijengea maukuta ya concrete mbele yenu.Why don't we seek for the best.,because we can have the best You seem to prefer leaders who are not honest.No we have to change our mindset na tutake the best of leaders.
Na mwenyekiti wa NETO naye kawekewa mdhamana🤣🤣🤣Hayo ni maneno tu.
Mwendazake alikuwa mwalimu.
Kuna kipi cha maana alichowafanyia walimu?
Zaidi amefanya wamejaa mitaani mpaka wameanzisha umoja wao wa NETO.
Aisee mawazo yako ya ajabu sana.Nataka tu nikukumbushe kuwa Traore ni adui wa nchi za magharibi kwa jinsi anavyowapenda wananchi wake na jinsi anavyolinda rasilimali za nchi yake.So kuwa na ulinzi imara ni lazima.So unataka awe na ulinzi legelege wamuue kama JPM? Surely no.To me he is justified kuwa na ulinzi imara.Ninyi watu kwa kuwa ni mafisadi mnataka viongozi lege lege ili mfanikishe ufisadi wenu God willing eventually tutapata kiongozi imara kama Magufuli au hata zaidi.Nakumbia mimi kiongozi simwangalii mara mbili mbili ili kujua ni wa aina gani. Huyu jamaa tangu nione anavyotembea na bastola kiunoni kila sehemu halafu na walinzi-wapambe wenye mikogo ya kilimbukeni nilijua kichwani hamna kitu. Kumbuka haya maneno na kuna siku utajua namaanisha nini.
Makonda aliwahi kuwapa vitambulisho walimu vya kupanda daladala bure nadhani!1. Mwalimu
2. Mwinyi
3. Magufuli
Wote walikuwa walimu. Hakuna kipya