Pre GE2025 Rais Samia: Kwa wale wasiojua, baba yangu alikuwa mwalimu, kwa hiyo nayajua mazito ya walimu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sisi Wananchi tunataka Katiba Mpya na Tume HURU ya Uchaguzi.
 
Ndg
Ndg walimu ndio wameongoza na wanaendelea kuongoza hii nchi, Baba wa Taifa, mzee Mwinyi, Magufuli, Majaliwa, Mpango(lecturer), n.k
Miongoni mwa uliowataja nasikia ndo babake mzazi🤣🤣🤣
 
Hayo ni maneno tu.

Mwendazake alikuwa mwalimu.

Kuna kipi cha maana alichowafanyia walimu?

Zaidi amefanya wamejaa mitaani mpaka wameanzisha umoja wao wa NETO.


Mbona smemkamata Kihana watu.... Au hilo halijui wala hsjalisikia...!?
 
Hata Mke wa kikwete alipata kiki kupitia waalimu. Siasa bana kila mtu anajiweka kwa waalimu ila hata hapoganii maslah yao
 
Watu tunataka ajira tumesomea ualimu ajira hatujapata,tuko mitaani tukijua kuwa mzee wetu alikuwa mwalimu haitupi pesa ya kununulia chumvi.
 
Kwamba mtoto wa mwalimu
 
Tumefikaje hapa? Kila akifungua mdomo utadhani tuko jikoni. Bila kuwa na rais mwenye vision nchi itaendelea kuzota.
 
Watu tunataka ajira tumesomea ualimu ajira hatujapata,tuko mitaani tukijua kuwa mzee wetu alikuwa mwalimu haitupi pesa ya kununulia chumvi.
 

Attachments

  • IMG_6267.jpeg
    130.1 KB · Views: 2
Asante sana kwa dharau.Wote wasio na kazi kwa kuwa wewe umependelewa na mfumo huu ovu kabisa kupata kazi, unawaona wajinga.Sawa,watoto wa wakulima wajinga,ila hili ni bomu ambalo hatimaye litawalipukia,NETO ni wawingu.

Shemeji yako au rafiki wa baba yako au hata mkataba ovu kabisa wa Mwitongo umekuwezesha kupata kazi kwa upendeleo,nyamaza usijione wewe mjanja kuliko wengine.
 
Kwa hiyo hana hata ka-diploma?Duh!
 
Baba Yuko Oman!
 
Wale wanaojua kuhusu shida waliximaliza?
Nimesema hamna kitu samia anajua kuhusu shida. Hiyo habari ya kuzimaliza utajua wewe huko na machawa wenzako. Halafu acha kuweka X badala ya Z. Inafanya uoneoane bado litoto. Japo hata hivyo sijui kama umekomaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…