PostGE2025 Rais Samia: Kwakuwa watanzania wamenipa ridhaa, sitachoka kunyoosha mkono wa maridhiano

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Samia kapiga kijembe taasisi za kimataifa kuwa maridhiano yatafanywa kwa taratibu za Kitanzania, na sio kutokana na presha zao.

Leo Samia anachoma tu!

====

Rais Samia amesema kwakuwa watanzania wamempa ridhaa ya kuongoza nchi kwa mara nyingine basi hatachoka kunyoosha mkono wa maridhiano hasa kwa vyama vya siasa.

Amesema ana imani mkono wake utapokelewa na watashirikiana vyema kujenga nchi kwa amani.

Amesema na hayo yatafanyika kwa kufuata mila na desturi za nchi na sio kwa kufuata mashikizo!
 
Hatutampa mkono
 
Asitulazimishe sasa.

Yani Samia akili zake kama roboti aisee, Mm nadhani she is a psychopath.
 
Back
Top Bottom