Kajipa ridhaa yeye, kajipa wabunge aliotaka, kajipa VP aliye muona atamsaidia kupata Kula na waziri Mkuu aliyeficha Mbaya yaliofanyika wizara ya fedhaSamia kapiga kijembe taasisi za kimataifa kuwa maridhiano yatafanywa kwa taratibu za Kitanzania, na sio kutokana na presha zao.
Leo Samia anachoma tu!
====
Rais Samia amesema kwakuwa watanzania wamempa ridhaa ya kuongoza nchi kwa mara nyingine basi hatachoka kunyoosha mkono wa maridhiano hasa kwa vyama vya siasa.
Amesema ana imani mkono wake utapokelewa na watashirikiana vyema kujenga nchi kwa amani.
Amesema na hayo yatafanyika kwa kufuata mila na desturi za nchi na sio kwa kufuata mashikizo!