Watanzania wapi hao?Rais Samia: Kwakuwa watanzania wamenipa ridhaa sitachoka kunyoosha mkono wa maridhiano
Amesema ana imani mkono wake utapokelewa!
Watanzania gani?amesema kwakuwa watanzania wamempa ridhaa ya kuongoza nchi kwa mara nyingine
Hatutampa mkonoSamia kapiga kijembe taasisi za kimataifa kuwa maridhiano yatafanywa kwa taratibu za Kitanzania, na sio kutokana na presha zao.
Leo Samia anachoma tu!
====
Rais Samia amesema kwakuwa watanzania wamempa ridhaa ya kuongoza nchi kwa mara nyingine basi hatachoka kunyoosha mkono wa maridhiano hasa kwa vyama vya siasa.
Amesema ana imani mkono wake utapokelewa na watashirikiana vyema kujenga nchi kwa amani.
Amesema na hayo yatafanyika kwa kufuata mila na desturi za nchi na sio kwa kufuata mashikizo!
Sijampa ridhaa mimi.Wewe hapo Mkuu na jamaa zako!🌚
Imagine, baada ya kuua watu wote hao eti sitachoka kunyoosha mkono wa mariadhiano, with who woman?Hili neno MARIDHIANO linatukwamisha sana kama taifa, Hawa watu wanafanya wanayoyafanya halafu wanakimbilia MARIDHIANO, Kuna namba inatakiwa ifanyike kukomesha huu ujinga. #December 9
Asitulazimishe sasa.Samia kapiga kijembe taasisi za kimataifa kuwa maridhiano yatafanywa kwa taratibu za Kitanzania, na sio kutokana na presha zao.